MUSOMA, MARA: Ambulance ya Hospitali ya wilaya Tarime yakamatwa ikisafirisha shehena ya mirungi

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Ambulance ya hospitali ya Wilaya ya Tarime ambayo imekamatwa na Inspekta Nathaniel pamoja na timu yake usiku huu huko Bunda ikiwa imebeba Magunia ya Mirungi kama inavyoonekana wengine ni watuhumiwa akiwemo dereva wa gari hilo.


IMG-20180711-WA0026.jpg

IMG-20180711-WA0024.jpg

IMG-20180711-WA0025.jpg

IMG-20180711-WA0023.jpg

IMG-20180711-WA0022.jpg
 
Kwa mkemia mkuu akipewa hongo anasema 'zilikuwa ni mbegu za matembele' kesi kwisha inabaki kesi nyngne tu ya kutumia vbaya mali ya umma
inategemea nani kakiripua kama kuna mkono wa mkulu usitegemee mkemia mkuu kupindisha ukweli
 
IWE FUNDISHO KWA WENGINE WENYE TABIA KAMA HIZO...HATA KAMA NI MAISHA SIO KUJIHATARISHA KWENYE MALI YA UMMA
 
Back
Top Bottom