SWALI:Ninaweza kucheza Lottery za Kimataifa ilhali nikiwa Mbagala kiburugwa

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Wakongwe habari...

Kama swali linavyoonekana hapo juu ni kwamba je?
ninaweza kucheza lnternational lottery programs kama vile Mega billionaire ya kule Marekani na zingine za nchi nyingine??

Je kuna lottery program yeyote ambayo ni ya kimataifa mtu yeyete duniani anaweza kucheza ?

vipi maswala ya kodi nchini mwetu iwapo ikitokea umeshinda?

Na kama ipo tunachezaje?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom