Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,451
17,155
Wakuu habari ya wakati huu,

Naomba kujua ni basi gani zikitoka mwanza zinaweza kufika Dar moja kwa moja bila kulala Morogoro maana nimeambiwa kwamba gari nyingi zinalala Morogoro.

Lakini pia nimeambiwa kama gari inafika Morogoro kabla ya sa 4 usiku hua zinaruhusiwa kuendelea na safari, naomba kujua ni basi gani zinaweza kufika Dar siku hiyo hiyo hata kama ni sa 8 usiku toka Mwanza.

Ahsante.

Update:
Ahsanteni kwa ushauri, nilifuata ushauri wenu wakuu, mgeni wangu kafika na gari ya Kisbo. Ahsanteni sana.
 
Wakuu habari ya wakati huu.

Naomba kujua ni basi gani zikitoka mwanza zinaweza kufika Dar moja kwa moja bila kulala Morogoro maana nimeambiwa kwamba gari nyingi zinalala Morogoro.

Lakini pia nimeambiwa kama gari inafika Morogoro kabla ya sa 4 usiku hua zinaruhusiwa kuendelea na safari, naomba kujua ni basi gani zinaweza kufika Dar siku hyo hyo hata kama ni sa 8 usiku toka mwanza.

Ahsante.
DARLUX
 
Nakutajia ni kisbo;kibo na kidia mzee hizo azima zinatoboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom