Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
wapi au unaleta mchezoKwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kiimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba
Limepita muda siyo mrefu mwanza mkuuwapi au unaleta mchezo
Lilikua la kawaida but linajenga hofu sana kama limepita uko machoKweli mkuu ila kwa huku nilipo halikuwa kubwa kivile..
Ni kweli hata mi nimelisikia maana nilikuwa macho kodoo!Kwa tetemeko lililopita muda huu aiseee linatisha, nyumba na kitanda kimetikisika na nikaikumbuka Sala ya toba. Japo halikua kubwa ila linatisha
ha ha! mapigo ya moyo yaliongezeka kiasi tu,kidogo nilianzishe kutoka nje nilihofia lingechanganya zaidi ya hapo mambo yangekuwa tafrani usalama ungekuwa mchache.. huenda likawa limepita na mikoa mengine ila kwa mwenendo huu nahofia lift valley maana yamefululiza tokea 2016!Lilikua la kawaida but linajenga hofu sana kama limepita uko macho
Poleni sana. Kanda ya ziwa kuna tatizo la kijiografia I guess linalosababisha matetemekoLimepita muda siyo mrefu mwanza mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nyumba ilivyotikisika nikajua leo inadondoka ila sema lilikua la muda mfupi sanaNi kweli hata mi nimelisikia maana nilikuwa macho kodoo!
Hili ni kubwa sema limechukua ka sekunde chache...
Maana mi hapa hadi kitanda kilikuwa kimegonga kwenye ukuta kwa kishindo ka mtu alibamiza mlango!
Yani yamekua mengi maana kila mwaka sasa yanapitaha ha! mapigo ya moyo yaliongezeka kiasi tu,kidogo nilianzishe kutoka nje nilihofia lingechanganya zaidi ya hapo mambo yangekuwa tafrani usalama ungekuwa mchache.. huenda likawa limepita na mikoa mengine ila kwa mwenendo huu nahofia lift valley maana yamefululiza tokea 2016!
Labda kama kumetokea maafa mkuuPoleni sana wakuu. Mtatumiwa salam za pole na Jiwe kesho asubuhi
Kwenye suala kama la tetemeko hakuna cha wa dar au wa mikoani mkuuNa uwingi wa mawe ya mwanza ndio inaleta hatari zaidi hasa kwa zile nyumba zilizojengwa juu ya milima..btn mjikaze wanaume wa mikoani hawalalamiki hovyo wakuu