Watangazaji wa biashara hujaribu kutushawishi tuhisi kwamba tutakuwa tunajinyima ikiwa hatutanunua bidhaa zao mpya.
Gazeti The Economist linasema hivi: “Mfumuko wa bidhaa umefanya ionekane kuwa...
Dar es Salaam. Tanzania will receive a $200 million (about Sh452 billion on the prevailing exchange rate) loan from Credit Suisse that will help the country in implementing its mega energy and...
Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.
Ongezea nyingine.
Kwa kawaida katika mahusiano ya kimapenzi kuna kuachana kwa kugombana au kwa kifo au kwa namna mbali mbali.. je.siku mmeachana na katika pita pita ukamkuta njiani kapatwa na matatizo...
Kwa nduguzetu Wanasheria,
Tamko Kama Hili lina Nguvu ya kiasi gani Kisheria?
Kwa ufahamu wangu (mdogo na wamazoea)
Picha Haijawahi kuwa, Pia SIO sehemu
(kipengele cha lazima) katika Mikataba hasa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nina kijiofisi changu cha kutengeneza simu na computer magomeni mapipa, sina maana kujitangaza ilanarudi kwenye maada yangu, nimejaribu kufanya uchunguzi...
Moja ya sifa ya biashara ni mhusika kumsikiliza mteja ,kwa lugha za sasa ni mtoa huduma kumjali mlaji,jana naibu waziri wa mawasiliano akiwa huko morogoro amekiri nae kuwa miongoni mwa wahanga wa...
Wakuu tawireee,
Kwanza napenda kutoa la moyoni kwa kumpongeza kamanda IGP simon sirro kwa majukumu anayokabiliana nayo siku hadi siku kuleta ufanisi katika jeshi la police ijapokuwa wanakuja...
Naondoka Tanzania,
Hivi sasa naelekea uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yangu hii. Nimeacha mke na watoto pamoja na wazazi ambao natarajia watanifuata baada ya mwezi mmoja...
KWA MAMBO YANAYOENDELEA HIVI SSASA NDUGU ZANGU TANROADS N SAWA NA KUWAGOMBANISHA MATRAFFICK NA WANANCHI
KUMEKUWA NA TOCHI KILA KONA JIJI LA DAR ES SALAAM INGAWA NAAMINI BADO ATUJAHITAJI HIZO KWA...
MODERATOR USIFUTE HUU UZI WALA KUUNGA NA NYUZI NYINGINE KWA MANUFAA YA UMMA
Nimepitia kwa uangalifu mwongozo wa TCRA juu ya kuonekana kwa local cuannels bure.. TCRA wanasema kwamba makampuni ya...
Nimeshtuka.
Saa 11.15 asubuhi hii watoto wadogo wa shule ya msingi wanakatiza kwenda shule! Wanakatiza hapa makutano ya BIBI TITI na Morogoro! I see.... Hawa niliowaona ni wadogo mno, naamini...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana. Mimi ni mmoja ya watumiaji wa usafiri wa BRT baada ya kuona huu usafiri unasaidia kufika haraka mjini.
Pamoja na kufeli kwa mradi huu kwa kuwa na Magari...
Kwenye ndege Na kwenye treni bia zinapatikana.
Kwenye mabasi ni soda tu.
Kwanini bia haiuzwi Wala kugawiwa kwenye mabasi?
Mabasi yanatumia muda mrefu zaidi njiani kuliko ndege, kiu jamani.
Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio...
Hapo nyuma usafiri wa Uber ulianza kuwa mkombozi kwa vijana waliokosa ajira kwa kujiajiri na uber na hivyo kupelekea kupunguza kero ya utegemezi kwa ndugu na kuweza kuendesha maisha ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.