Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,230
- 871,686
Tunaipoteza asili kwa kasi kubwa na tunashindwa kuukomboa wakati kwakuwa wakati hauna rivasi kama nyoka... Kama bodaboda.,.
Hatuna tena yale matunda yaliyoivia mtini na kudondoka yenyewe. Hatuna tena mboga za majani zilizomwaligiliwa kwa maji ya mtoni na zilizokuzwa na mbolea asilia. Ubwabwa wa kupikwa kwenye kuni na sufuria ya SIDO, jiko la mfinyanzi, nazi toka viungani.
Ubwabwa uliofunikiwa na kuwa na makoko/ukoko na mahaba... HAKUNA... HAKUNA kweli... Mchele wa skimu ulioteshwa kwenye bonde asilia HAKUNA...
Hakuna maharagwe yaliyopikwa kwenye chungu moto wa kuni viungo fresh toka bustani ya familia HAKUNA.....
Vyakula asili vinatoweka, vinywaji asili vinatoweka... Nani anathubutu sasa hivi kunywa maji asili ya mtoni tena bila kuchemsha? Pombe zetu za asili nazo si kitu tena.... Mbege, lubisi, ulanzi, togwa nknk
Maumbile yetu wanadamu huathiriwa kwa kiasi kikubwa na Vyakula tulavyo na vinywaji tunywavyo... ladha katika ngono.. Uwezo katika kuhimili tendo mpaka kufikishana kileleni vina mahusiano makubwa sana na Vyakula vyetu, mavazi na vinywaji...
Mabwawa ya mtera, mifuko ya lambo, vibamia, via vya uzazi kuwa baridi... Minuko na harufu za ajabu vina asili moja na vyakula vya kisasa... Vyakula vya Mashine... Vyakula vya supermarket.... Eti usasa...
Mnyama kachinjwa mwezi wa NNE huko ulaya unakuja kumla leo akiwa na kemikali kibao... Huku ndio kula mapooza... Yanapooza mpaka hamu zako.....
Acha tu nikomee hapa ila ubwabwa wa sasa hauna ladha wala haunukii halafu haukawii kukifu......