uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Habari wana jamii
Kwanza naomba niombe radhi kwa jamii itakayohisi au kuona imeguswa kwa namna moja au nyingine lakini kuna mambo lazima yasemwe ili haki za wengine nazi zilindwe
Ama baada, kumekuwa na tabia moja ambayo binafsi naona ni kero hasa kutokana na kelele za muziki wa sauti ya juu sana katika maeneo ambayo shughuli za kijamii zinaendelea. Nikianzia maeneo ya stendi mathalani Kivukoni, Mnazi Mmoja nk unakuta kikundi cha watu wanapiga muziki wako kama bendi (sio promotion coz wanakibali) au wengine na spika kubwa wamepakia ktk mikokoteni na sauti zimefunguliwa kwa sauti kubwa sana. Huu ni uchafuzi wa mazingira kwa kuleta kelele za juu sana. Hata kama twafanya biashara au kuomba msaada kuchangiwa daah hebu tujali na afya za walaji. Mamlaka mnaosimamia masuala haya ya muziki kama BASATA nk tafadhalini toeni mwongozo bora katika masuala ya namna hii. Tusikae maofisini tu, piteni muone namna bora za utekelezaji wa mambo kama haya