Akunyamazishaye anakuua

Akunyamazishaye anakuua

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
956
Reaction score
1,878
Walisema wahenga, "Dead men don't talk" yaani "wafu hawaongei". Muogope sana mtu anayekunyamazisha, usitoe maoni au kukosoa. Kumbuka wafu hawaongei, ukinyamazishwa usiongee chochote, haitofautiaani na kuuawa.

Mkatae mnyamazishaji.
 
Haya wanayoyasima JF wayafanyie kazi nafaka ya kutafuta Mwatu wenye ID za magumashi
 
Saa nyingine kunyamaza pia ni hekima km unakula Ugali wko tembelee vizuri kwann uanze kuongea ongea na kuhatarisha maisha yko tusome nyakati pia
 
Waaambie Mkuuu, huwa najiuliza yule mdomo washawasha anasota wodini/kulala kwa msamaria sebuleni kule Belgium familia inalialia iooohhh Bunge matibabu nknk ndio faida gani. Tunapenda sifa na umaarufu usio na tija, wekeza nguvu zako kufanyakazi za maendeleo KUBWABWAJA HAKULIPI. Kama unataka umaaarufu wa Kuongea nenda kaungane na STEVE NYENYERE kule Ubongo Movie sio kuchezea akili za watanzania na viti vya kijinga kijinga. Mara siti za Drim Lina zina mende, ooohh Bombadier ni Used, oooh Mhe. JK alisafiri nchi 127 fara sana watu wa dizain hiii na bado mtatenguliwa nyonga tu
 
Kwa hiyo wewe ndiye unayetengua watu viuno sio?. Kumbuka kuua sio tu kushiriki hata kuunga mkono mauaji nawe unakuwa muuaji. Ubarikiwe sana katika hili. Auwaye kwa upanga naye kwa upanga atakufa. Ubarikiwe katika hili pia.
 
Back
Top Bottom