Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dege letu ni kubwa sana. Linabeba watu 262 na lina nguvu na uwezo mkubwa wa kusafiri umbali mrefu kwa siku bila shida yoyote. Tumeona linavyokata mawimbi kuanzia Dsm mpaka Mwanza kupitia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
MATIBABU YA MWISHONI(PALLIATIVE CARE) Ameandika rafiki yangu Dr. Justin Banyukwa. Matibabu ya mwisho yaani palliative care, hii ni aina ya matibabu apewayo mgonjwa ambae ana ugonjwa wa mda...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
ni swali tu kwa wale watabe wa financial economy hebu tufahamisheni benki nyingi kuyumba nchini imaletwa na nn na inamaana gani kiuchumi, yaani imatoa picha gani kiuchumi?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Polisi wanasema wanafanyia kazi malalamiko yoyote au taarifa yoyote bila kujali imefikishwa kwao kwa njia ipi. Na kuandika hapa naamini ujumbe mumeupata. Mimi Nalalamikia...
17 Reactions
30 Replies
7K Views
TAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA[emoji871] Biolojia inasema kuwa baada ya tendo la ndoa, mbengu za kiume zinazoingia kwa mwanamke hufikia karibu milioni 300 na zote huanza kuogelea kwenda kukutana na...
11 Reactions
65 Replies
10K Views
NACTE: SIFA ZA UDAHILI WA WANAFUNZI KWENYE KOZI MBALIMBALI
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Katika pori ama msituni: 1. Tembo ndiye mnyama mkubwa na mzito kuliko wote. 2. Twiga ndiye mnyama mrefu kuliko wote. 3. Mbwa mwitu ndie anaeaminika kuwa na busara kuliko wengine. 4. Duma ndiye...
14 Reactions
22 Replies
4K Views
"Idara ya uhamiaji inashikilia pass ya kusafiria ya mkurugenzi mtendaji wa @Twaweza_NiSisi, hatuna taarifa yoyote ya mahakama yenye kuidhinisha jambo hilo." - @aeyakuze. #KwanzaHabari Kwanza TV on...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimekuwa na maswali kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii na nimesoma kidogo SSRA lakini nina maswali, naomba kueleweshwa. 1. Natambua ni mashirika ya umma, kwa nini sio moja au mawili kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wiki hii kumetokea tukio kubwa la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kati ya wafanya kazi wa serikali na sekta binafsi Mie kiukweli niko sekta binafsi na nilikuwa nikichangia PPF sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jamvi Naomba niandike kwa kifupi Kuhusu hili, Wizara ya kazi inabidi iweke utaratibu wa kutoa mikataba kwa waajiriwa wa serikalini kupata mikataba ya miaka mitatu na kuendelea, Mara...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba ushauri jamani ndugu zangu nilipendana na binti mmoja kwa kipindi cha muda wa miaka minne hadi sasa lakini ikafikia muda yeye baada ya kumaliza chuo tukaamua kuwajulisha wazazi ili taratibu...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Message… Habari wakuu!! Ugonjwa wa Ebola: Tanzania iweke vituo vya uchunguzi mipakani Kama wengi tunavyo jua ugonjwa wa Ebola umeanza kuenea huko nchini Congo na Congo ipo miongoni mwa nchi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bado nina kifua cha kusimama popote duniani na kujivunia utaifa wangu kuwa mimi ni MTANZANIA... Nimebahatika kusafiri sehemu kubwa ya dunia.. Hivyo nina hakika na majivuno yangu ya kuwa MTANZANIA...
11 Reactions
60 Replies
6K Views
It will always be a mystery that the people at the top use the people at the bottom to reach the top and to maintain their stay. The people at the top never want people at the bottom to be equal...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimefuatilia hii issue ya Jiji la Dodoma kulishinda hili la Dar nikajiuliza mengi, kulikoni? Lakini nikakumbuka mwaka juzi ilitoka tathmini ya athari za foleni kwamba foleni Dar kwa siku...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu,naitaji kwenda tabora sikonge kilumbi,natokea mwanza na gari ndogo ya chini kidogo,naomba kufaham nikiingilia nzega tabora na nikipitia singida wapi mbali?na ninjia gani rafiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua ni reliable kiasi gani... Sjawahi tumia hii kitu, nna safari ambayo ntajitahidi kuja kuchukuliwa na taxi kutoka kitunda hadi ubungo terminal asubuhi sana.. Je naweza kuiamini uber kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sina ubaya wowote, kinyongo na wala sifahamiani na Salum Mkambala wa Magic FM. Lakini nimeshindwa kujizuia kusema kuwa huyu bwana ananikwaza saana nikiwa nafuatilia mijadala mbalimbali katika...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…