Taratibu aibu itawafikia tu

Taratibu aibu itawafikia tu

m2020

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
979
Reaction score
1,354
Kuna usemi usemao "MWISHO WA UBAYA NI AIBU" Naiona AIBU ikitamalaki ndani ya baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vimekuwepo kwa muda sasa vikijenga chuki, fitina, majungu na kila aina ya ubaya ndani ya taifa hili kwa kuwachonganisha viongozi wa serikali na wananchi. Kila kukicha utasikia ooooh yule mbaya mara oooh yule hafai mara oooh nchi hii sijui nininini...

Sasa ni muda umewadia wa AIBU kuwafika majnun wooote na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani ni suala la muda tu tutapata majibu ya kila swali.

HEKIMA HUUSHINDA UBAYA EPUKENI AIBU NYIE MLIOBAKI KWENYE KAMPUNI ZA SIASA.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi watanzania hatutaki kusikia habari za siasa, sisi tunasubiria muda wetu ufike tuchukue hatua, hatupendi ujinga sisi, mnaotoa kauli za mtapata taabu sana tena kwa nyodo na viburi zitawarudia nyie wenyewe, shubaaa mitttiii??????!!!!!!???
 
Na wewe umeanzisha uzi... Poor thinking
 
Huenda ikawa hivyo, maana mkakati wa kununua wabunge waliochaguliwa na wananchi utakuwa na mwisho. Aibu itapatikana tu
 
Back
Top Bottom