Hasira kwa mwenye nguvu ni mbaya

Hasira kwa mwenye nguvu ni mbaya

Enkorongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
979
Reaction score
439
Siku zote ukiwa na manguvu na uwezo wa kutenda chochote kwa mnyonge asiye na uwezo wa kukujibu huwa ni mbaya na matokeo yake wewe mbabe unaweza kujimaliza mwenyewe.
FB_IMG_1533021978103.jpg
 
Huyo nyoka alikuwa na dhamila ya kumuuma fundi seremala lkn kwa bahati mbaya akajikwaa kwenye msumeno,akaamua kuuzingira ili aushambulie lkn matokeo yake mnayaona
 
Huyo nyoka alikuwa na dhamila ya kumuuma fundi seremala lkn kwa bahati mbaya akajikwaa kwenye msumeno,akaamua kuuzingira ili aushambulie lkn matokeo yake mnayaona
Basi huyu nyoka atakuwa ni Lissu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom