NMB wamejitoa huduma ya 'Salary Advance' kwa Watumishi wa Umma

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Tumeanza July 2018 vibaya. NMB wamejinasua kwenye huduma ya Salary Advance waliyokuwa wakiitoa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo Mtumishi wa Umma alikuwa na uwezo wa kukopeshwa karibu 40 % ya take home yake pindi anapokuwa na uhitaji wa dharura.

Sasa naona jamaa (NMB) wameitoa huduma hiyo. Sijui tukimbilie wapi sasa.

Sijui wale wa CRDB na benki zingine.

Tutafika tu
 
Look for another DOOR kama HUU WA NMB umefungwa! There is always an alternative to EVERYTHING AU SIYO!?
 
Tumeanza July 2018 vibaya. NMB wamejinasua kwenye huduma ya Salary Advance waliyokuwa wakiitoa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo Mtumishi wa Umma alikuwa na uwezo wa kukopeshwa karibu 40 % ya take home yake pindi anapokuwa na uhitaji wa dharura.

Sasa naona jamaa (NMB) wameitoa huduma hiyo. Sijui tukimbilie wapi sasa.

Sijui wale wa CRDB na benki zingine.

Tutafika tu
Salaam Hivi Punde,

Huduma hii bado ipo na inatolewa kulingana na vigezo na masharti kwa wanaokidhi vigezo na masharti. Karibu sana tukusaidie unapokwama kupata huduma hii tuweze kukusaidia kutatua tatizo lililopo kwa upande wako. Pitia NMB Salary Advance - NMB Bank Plc. kujua vigezo na masharti.

Asante
 
Back
Top Bottom