Anko Elly
Member
- Feb 22, 2017
- 69
- 70
Nasikitika sana kuandika andiko hilo kwenye jukwaa hili lakini sina budi baada ya moyo wangu kukosa uvumilivu hasa kwa mambo yanayochefua na kuendelea chini ya jua, sio kwamba mimi ni mkamilifu hapana, sema kwa hili ngoja nitiririke.
Mtaniwia radhi ndugu zangu waislamu ambao mpo katika mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhani kama uzi wangu utawakera, sina nia mbaya bali ikiwa ni katika kujenga jamii yetu inayotuzunguka.
Hakika Mwanaume amepewa nafasi kubwa ya umiliki na kutawala, najua wazee wa HR mtapinga hilo, ila hii ni kutoka kwenye maandiko katika vitabu mbalimbali vya dini yaani Biblia na Quran tukufu.
Huyu jamaa ni jirani yangu ambaye amajaliwa kupata exposure ya kusoma nje ya nchi, amejenga nyumba yake ya kisasa, msomi hasa, ana kazi nzuri, yupo very smart hata katika muonekano wake kwa ujumla.
Tatizo ni kwamba huyu jamaa anajihusisha na mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja(Ushoga) tena anaonekana ni mdhoefu kwelikweli, mwanzoni nilikuwa nikisikia maneno kutoka kwa majirani lakini nikasema huenda ikawa ni maneno ya waswahili.
Lakini baada ya kufanya ufukunyuku nikagundua kuwa ni kweli, kwanza mavazi yake ya CASUAL ni utata, unaweza kuta amevaa kofia, tshirt au form six kali, shades, kifimbo, sandles lakini hapo kati amepiga kipensi laini ambacho kinaonyesha makalio yake, isitoshe anatembea kwa kujibinua yaani.
Kingine anapenda sana kampani zake ni vijana wa age kati ya 18-25 hao ndio ana-roll nao, hasa hawa vijana ndio wamekuwa wakitoa siri zake, anaishi na mchumba wake ambaye yupo chuoni kimasomo na wamebahatika kupata mtoto mmoja.
Huyu Brother ni mtu wa Fashion kwelikweli na pia anafahamiana na watu maarufu hasa wanasiasi, isitoshe ni kaka wa dada mmoja anayesumbua sana hapa mjini, mwenye brand yake kubwa sana.
Nikawa najiuliza why watu wenye mafanikio wanafanya mambo kama haya? majibu sipati? kama hiyo haitoshi kuna jamaa mmoja niliwahi kukutana nae Gym moja hapa town, yaani huwezi amini kama ni gay, siku niliyokuja kuamini ni baada ya kuchukua namba ya mmoja ya rafiki yangu na alichokua akimuomba ni vituko hata kuhadithia.
Naomba niishie hapa kwa leo.