Ukijua Mnyama anavyoteseka, bado utakula nyama?

duuh hapo sasa labda aje mshana Jr mzee wa meditation, ila mi ninavyojua wanyama na ndege baadhi wapo kwaajili ya kuliwa, sasa uanze kumfikilia tena kuku anavyochinjwa daah hapo inabidi usile tu maana tayari ushayavaa mateso yake na ukiendelea kuchinja ni sawa na ukatili tu
 
Kwaiyo kitendo cha nguruwe kupigwa shoka kichwani hadi kufa wewe hujui nini kinaendelea ndani yake na bado analiwa kwa ndizi na ugali na pilipili ikibidi

Kusikia Mnyama kauliwa au kapigwa shoka ni tofauti na kujua kinachoendelea ndani ya Mnyama punde kabla ya mauti kumfika, ni kama vile unasikia kila siku watu wanakufa lkn maisha yako yanaendelea lkn siku akifa mtu wako wa karibu ni tofauti kabisa, au kila siku unasikia watu wamekufa kwa ajali lkn siku ukisikia aliyehusika kwenye ajali ni mtu wako wa karibu kuna tofauti, sijui kama nimeweza kujielezea vizuri na kueleweka ninachotaka kusema!
 
Kwaiyo kitendo cha nguruwe kupigwa shoka kichwani hadi kufa wewe hujui nini kinaendelea ndani yake na bado analiwa kwa ndizi na ugali na pilipili ikibidi
Ateseke asiteseke lazima kitimoto nimle,tena utafiti umefanyika umeonesha kua kadri anavoteseka ndo anakua mtamu zaidi.

NB:kwa sasa hakuna wanyama wenye mateso kuzidi wananchi wa Arusha baada ya kupigwa rungu la rambirambi.
 
Anae pigwa Shoka haumii, Just single hit anapoteza faham pengine kifo kabisa, hayo maumv anayapatia wapi

Vipi kama ukijua kwamba Mnyama kabla ya kupigwa shoka huwa anajua kwamba atapigwa shoka na kwamba anapitia mateso ya ajabu sana, kama vile wewe labda ujue kwamba baada ya dakika mbili utapigwa Panga la kichwa ufe, vipi bado utaendelea kula Nyama?
 
Ateseke asiteseke lazima kitimoto nimle,tena utafiti umefanyika umeonesha kua kadri anavoteseka ndo anakua mtamu zaidi.

NB:kwa sasa hakuna wanyama wenye mateso kuzidi wananchi wa Arusha baada ya kupigwa rungu la rambirambi.
hiyo research doohh tupe source ya hyo taarfa yako
 
Back
Top Bottom