mtundu27
Member
- Jul 17, 2018
- 78
- 123
Habarini wadau, Natumai mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu hawa vijana wanaojiita boda boda.
Hawa watu ni watu wa ajabu mno na sijui leseni zao wanazitoaga wapi. Unakuwa wanaovertake wrong position, pili sheria za barabarani ni kama hawazijui kabisa na cha kushangaza serikali iko kimya kabisa.
Cha kusikitisha, wakigongwa kwa upumbavu wao, hao wenzao wanakusanyika kama nyuki na wanaweza kukuua kabisa.
Kwa mtazamo wangu hii biashara ife kabisa au wakapewa mafunzo kwa ya ustaarabu then ya kuendesha chombo cha moto.
Karibuni tujadiliane.

Last edited by a moderator: