Nachukua nafasi hii kumpongeza Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete mungu akubariki na akupe maisha marefu kwa sababu usingekuwa wewe hakika nisingepata elimu ya chuo kikuu
Wakati nakaribia kufanya mtihani wa kidato cha sita nilikumbwa na matatizo mazito ya kifamilia hata hivyo ilibidi nifanye mtihani ule licha ya kukabiliwa na changamoto ya kufiwa
Baada ya matokeo kutoka yalikuwa mabaya ambapo ilinibidi nireseat mtihani na mungu akanisaidia nikafaulu na kuomba mkopo na kupewa asilimia 70
Hakika ulisaidia nikaliza chuo na kufaulu....natoa pongezi hizi kwake kwa sababu nawaona watoto ambao wanafanya mitihani si kwa kutokujua wakafeli bali ni changamoto za maisha ambazo huenda zilijitokeza na kufeli huo mtihani na bahati mbaya ukishareseat kwa kipindi hiki hupati mkopo
Nasikitika kuwaona watoto wa masikini ambao wamereseat wamekosa mkopo na ndoto zao zinapotea hakika
Mungu akubariki Jakaya hakika ulijua binadamu wanavyohangaika hapa duniani