Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,958
- 8,931
Semitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo.
Nimepiga picha kinamna namna majizi yasinishtukie. Hapa natumia browser nashindwa kuyaweka
kichwa T 176 ARS
Tela T 348 DES
Nimepiga picha kinamna namna majizi yasinishtukie. Hapa natumia browser nashindwa kuyaweka
kichwa T 176 ARS
Tela T 348 DES