neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, amesema serikali itachukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa kutimiza masharti ya uendelezaji wake.