Wakati wa Mbowe kustaafu bado, tunawaonya ccm kuacha kutuchagulia m/kiti ,wao wajikite kurekebisha Katiba yao ili kuruhusu wanachama kugombea nafasi ya m/kiti wa chama chao badala ya m/kiti kugombea na kivuli ikiwemo kutopingwa.
Wamebomoa billcanas
Wameteketeza shamba lake
Wamempa kesi ya akwelina
Kisha polepole na genge lake wamekosa pumzi kiki ya kuunga mkono imefeli wamehamia kwenye ukomo wa uongoz na ruzuku
Huko ccm nani anahoji ruzuku ikiwa korosho zilitaka kuwafukuzisha wakina nape?
Mwenyekiti wa ccm anashindana na nani kugombea kiti wapo watasingizia katiba inamruhisu raisi kuwa mwenyekiti sasa kuna wale wana uwezo wa Kukiongoz chama lakin hawana uwezo wa kushika uraisi ndoto zao zimezimwa na katiba ya kibaguzi na kidikteta inayomlazimu mtu kumpigia kura mtu bila kushindana?
Si ajabu haya mambo ya kupita bila kupingwa mnayahamishia hadi nje mkifikir wote wanachama cha mapinduzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.