ndiyo maana najivunia kuwa Mfanya Biashara.Kwa sisi wafanyabiashara kila siku hela tunazo.Hatusubir mwisho wa mwezi
hahaahhaahhaahahahhaZiweke kwenye Fixed Account mpaka mwisho wa mwezi
Mnajifariji tu hamnalolote !! We mfanyabiashara na Mo nani sasa!? Au we Dangote!! Mtaji wa 55 elfu unajiita businesswoman !!!ndiyo maana najivunia kuwa Mfanya Biashara.
Kiwango kifupi kabisa cha kuweka deposits kwa FDR ni miezi mitatuZiweke kwenye Fixed Account mpaka mwisho wa mwezi
hakuna fixed account ya mweziZiweke kwenye Fixed Account mpaka mwisho wa mwezi
MchuuziMnajifariji tu hamnalolote !! We mfanyabiashara na Mo nani sasa!? Au we Dangote!! Mtaji wa 55 elfu unajiita businesswoman !!!
Kauze sungura kwa TZS. 65,000/- mbona life is very easy.Leo nikiwa mjn katika pitapita zangu,s nikachomeka ATM card yangu kuprove km mshahara upo.Akaunt ikasoma unono, nipo nakata mwendokasi kidogo.
Ni jambo jemba lakin je , December 25 tutasalimika kweli?Na bado mwaka mpya January 01,2017.
Dah
Hivi wale mende wana shughuli gani?Siyo kware?