Mambo vipi Viol,
Ni kweli tovuti yetu ilikuwa na matatizo kwa muda mrefu sana lakini kwa hivi sasa kila kitu kiko shwari na tumerudi kwa kasi ya juu kuliko hata zamani. Bado tunaendelea kufanya marekebisho madogo madogo bila ya kuathiri huduma za utumiaji wa tovuti kwa wanachama na maelfu ya watumiaji kila siku. Karibu sana ndani ya EastAfricanTube mpya na uwafahamishe wengine. Rayvanny - Chombo (Official Music Video)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.