Mwanaume usikate tamaa kabisa, natusua maisha Ukraine hivi hivi

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Kabla ya safari yangu ya hapa Ukraine nilikatishwa sana Tamaa na kuonekana sitatoka kimaisha lakin ukweli nimegundua wengi waliokuwa wananikatisha tamaa hawajawahi vuka kufika hata Kenya Nairobi,

Maisha ya Ukraine ukilinganisha na sehem nyingine za ulaya

Kusema kweli maisha ya Ukraine ntayazungumzia kwa aina tatu

1. Upatikanaji wa pesa
2. Matumizi na bei za vitu
3. Maisha na Usalama wa mgeni ndani ya Ukraine

UPATIKANAJI WA PESA

Ukweli ni kwamba kwa mtu mzembe hapa si rahis kutusua hata kidogo, inabidi ufanye kazi kwa hali na mali hata ambazo watu wanabagua, mishahara so mikubwa ina range 300 USD mpaka 2000 USD kwa mwezi,.kwa walioajiliwa permanent kwa makampuni , mshahara ni mdogo sana ukilinganisha na mshahara kama wa mtu aliyeko Canada au England, japo unafuu ni kwamba Ukraine ni rahis sana kupata professional jobs kuliko uingereza na maeneo mengine kama ujerumani kazi kubwa ya waafrica ni loading and offloading, na kubeba mizigo mizito,

Hapa Ukraine wazawa wanapakimbia kwenda kupata professional jobs western Europe, kwao ni rahis kupata kuliko ngozi nyeusi kule, hivo nafasi za mishahara hapa Ukraine zinachukuliwa na wageni hasa kutoka pakistani , Nigeria na Kenya,

Pia kuna kazi za ziada kama niliyopata nje ya kazi iliyonileta, nimepata kazi ya kuwa agent wa kuwapatia kampuni moja wateja wanaotaka working permit,visa na permits za kusoma vyuo,.nakula 10%

Imenisaidia sana maana nimepata wanaotaka kusoma, wanaotaka kupata permit ya mwaka mmoja,miwili, mpaka mitatu ya kazi,

Kuhusu wanaotaka za kusoma hao wanashughulikiwa kulingana na miaka ya kozi yake,

Kusema kweli nimegundua ni vigumu kutoka kimaisha kama hufikirii mbali na kutumia angalau robo ya robo tu ya ubongo wako,

MATUMIZI YA PESA

Maisha ya Ukraine ni rahisi sana sana sana. Gharama ya maisha ya uingereza ni mara 35 ya gharama ya maisha ya Ukraine,.kuanzia pango, chakula, na usafiri na manunuzi mbali mbali.

Ila kuna baadhi ya miji kama Odessa na Kiev maisha magumu kidogo japo hayafikii ya London, au Frankfurt,

Pia ni rahis kushare baadhi ya huduma.

USALAMA WA MGENI NDANI YA UKRAINE HASA MWAFRIKA

Kuna dhana ya kwamba waafrika wanabaguliwa Ukraine tu, hapana wanabaguliwa hata huko Tanzania, nenda maduka ya waindi uone majanga kina Shabani wanapelekeshwa sana sana na mshahara hakuna.

Lakini sawa pote pengine waafrika hubaguliwa ila kwa Ukraine kuna exaggeration kwenye kureport ubaguzi. Ubaguzi wa Ukraine haufikii wa Italy au Ujerumani au Philippines au waliowahi kwenda Urusi mtakuwa mnaelewa namaanisha nini.

Kwa kifupi Ukraine iko Poa kuna watoto wazuri wakali sana na wakarimu ila wako after money.

Nimepata ushirikiano mzuri na wazawa wa hapa ila ukija mara ya kwanza unatakiwa kuwa makini mno, hasa wahuni hawakosi pembezoni mwa miji na wanaweza kukudhuru mgeni yeyote yule, japo anayetambulika haraka kwamba ni mgeni ni mwafrika kutokana na rangi yake.

Mkuje tuwe wengi sana huku

MAELEZO MUHIMU

Nadhani unajua kwamba kwa yeyote kupata visa kuja ulaya lazima awe na vifuatavyo
1. Ticket return ticket
2. Sufficient fund ya kumwezesha kukaa huku kwa siku ambazo atataka kukaa na kwa siku ni dollars 150 kulingana na taratibu za balozi mbali mbali,

3. Uandike barua ya sababu ya kutembelea unakotaka kwenda,

4. Uwe na travel insurance ambayo ukipata tatizo inaweza kukusaidia kwa matibabu au kusafirsha maiti ukifa na iwe na uwezo wa ku cover mpaka 20,000 USD sawa na milion 40, japo yenyewe inauzwa 2000 USD,

5. Uwe na hotel reservation uliyobook kwa siku utakazokaa,

Kwahiyo njia hiyo ni gharama,

Ndo maana makampuni kama haya hugarantee na kusaidia watu kwa makaratasi yao kama wamekualika wao, unalipa malipo yao kulingana na aina ya ujio unaotaka,

Wanakupa

1. Invitation letter
2. Wanatumia bank statement zao kukuombea visa
3. Wanakutaftia travel insurance
4. Wanakutaftia pa kufikia,

5. Unapewa utaratibu na mwongozo mpaka unafika huku,

6. Unapewa notarized letter guarantee, yaan barua ya mahakama kukudhamini kwa lolote uwapo Ukraine,

Malipo yanategemea umechagua aina gani ya ujio kama shule, kazi, matembezi, kuwekeza,.ama kuoa

Kwa maelezo ya haraka kampuni hii haitoi kazi ila inakusaidia kupata visa ukafanye mishe zako mwenyewe, kama kazi utajua, kama biashara ni wewe, ni rahis kupata fursa

Total residence.
For temporary residence we offer following options:

1) Company Registration & Work Permit (for 3 years)

LLC will be registered with you as the main shareholder. You will get the work permit to hold a director's position. According to the recent legislation changes, the maximum duration of the work permit is 3 years. The residence permit will be given for 3 years accordingly. A single visit is needed to get the residence. Due to the official employment, you will be liable for some tax payments.
Total price: 1500 USD

2) Language Learning Programs & Pre-university Courses

One year Russian/Ukrainian/English language courses. Up to 10 students in a group, lessons 5 days per week, 3-4 hours per day. Accommodation is included.
Total price: 2400 USD

For permanent residence we offer following options:

1) Investment of at least 100K USD

Package includes company foundation on your name, investment registration, migration permit, permanent residence permit. Purchasing commercial/residential property is possible. The single visit on any visa is needed to get the residence.
Total price: 2200 USD

2) Marriage with Ukrainian citizen (after 2 years)

Marriage with Ukrainian citizen gives you the right to obtain the temporary residence permit just after the registration. After 2 years of marriage, you are eligible for permanent residence, which is lifelong. You are required to visit Ukraine twice: for marriage registration & the second time for residence.
Total price: 2500 USD

3) Marriage with permanent residence holder (immediately)

Marriage with permanent residence holder gives you the right to obtain permanent residence permit immediately. Permanent residence is lifelong. You are required to visit Ukraine only once - for marriage registration. Any visa type is suitable. The whole process takes around 3 months.
Total price: 4500 USD

Please let me know what option seems to be suitable for you.

I will get back to you with more details accordingly
.

Kyeibumba
 
Hujaongelea kitu kimoja mzee baba.si mbaya kukiweka wqzi...upatikanaji wa wenza. Vp umeshaonja ata moja huko? Ladha yake ipoje ukilinganisha na za huku kwetu.
Ndiyo upatikanaji unategemea na ujanja wa mtu ,kama domo zege
 
Kabla ya safari yangu ya hapa Ukraine nilikatishwa sana Tamaa na kuonekana sitatoka kimaisha lakin ukweli nimegundua wengi waliokuwa wananikatisha tamaa hawajawahi vuka kufika hata Kenya Nairobi,

Maisha ya Ukraine ukilinganisha na sehem nyingine za ulaya

Kusema kweli maisha ya Ukraine ntayazungumzia kwa aina tatu

1. Upatikanaji wa pesa
2. Matumizi na bei za vitu
3. Maisha na Usalama wa mgeni ndani ya Ukraine

UPATIKANAJI WA PESA

Ukweli ni kwamba kwa mtu mzembe hapa si rahis kutusua hata kidogo, inabidi ufanye kazi kwa hali na mali hata ambazo watu wanabagua, mishahara so mikubwa ina range 300 USD mpaka 2000 USD kwa mwezi,.kwa walioajiliwa permanent kwa makampuni , mshahara ni mdogo sana ukilinganisha na mshahara kama wa mtu aliyeko Canada au England, japo unafuu ni kwamba Ukraine ni rahis sana kupata professional jobs kuliko uingereza na maeneo mengine kama ujerumani kazi kubwa ya waafrica ni loading and offloading, na kubeba mizigo mizito,

Hapa Ukraine wazawa wanapakimbia kwenda kupata professional jobs western Europe, kwao ni rahis kupata kuliko ngozi nyeusi kule, hivo nafasi za mishahara hapa Ukraine zinachukuliwa na wageni hasa kutoka pakistani , Nigeria na Kenya,

Pia kuna kazi za ziada kama niliyopata nje ya kazi iliyonileta, nimepata kazi ya kuwa agent wa kuwapatia kampuni moja wateja wanaotaka working permit,visa na permits za kusoma vyuo,.nakula 10%

Imenisaidia sana maana nimepata wanaotaka kusoma, wanaotaka kupata permit ya mwaka mmoja,miwili, mpaka mitatu ya kazi,

Kuhusu wanaotaka za kusoma hao wanashughulikiwa kulingana na miaka ya kozi yake,

Kusema kweli nimegundua ni vigumu kutoka kimaisha kama hufikirii mbali na kutumia angalau robo ya robo tu ya ubongo wako,

MATUMIZI YA PESA

Maisha ya Ukraine ni rahisi sana sana sana. Gharama ya maisha ya uingereza ni mara 35 ya gharama ya maisha ya Ukraine,.kuanzia pango, chakula, na usafiri na manunuzi mbali mbali.

Ila kuna baadhi ya miji kama Odessa na Kiev maisha magumu kidogo japo hayafikii ya London, au Frankfurt,

Pia ni rahis kushare baadhi ya huduma.

USALAMA WA MGENI NDANI YA UKRAINE HASA MWAFRIKA

Kuna dhana ya kwamba waafrika wanabaguliwa Ukraine tu, hapana wanabaguliwa hata huko Tanzania, nenda maduka ya waindi uone majanga kina Shabani wanapelekeshwa sana sana na mshahara hakuna.

Lakini sawa pote pengine waafrika hubaguliwa ila kwa Ukraine kuna exaggeration kwenye kureport ubaguzi. Ubaguzi wa Ukraine haufikii wa Italy au Ujerumani au Philippines au waliowahi kwenda Urusi mtakuwa mnaelewa namaanisha nini.

Kwa kifupi Ukraine iko Poa kuna watoto wazuri wakali sana na wakarimu ila wako after money.

Nimepata ushirikiano mzuri na wazawa wa hapa ila ukija mara ya kwanza unatakiwa kuwa makini mno, hasa wahuni hawakosi pembezoni mwa miji na wanaweza kukudhuru mgeni yeyote yule, japo anayetambulika haraka kwamba ni mgeni ni mwafrika kutokana na rangi yake.

Mkuje tuwe wengi sana huku

Kyaibumba
+380731591180
Msalimie Shevshenko hapo!!
 
Kyaibumba ishozi au?
 
Back
Top Bottom