Kwako Mzee Wangu J Mbwambo

Kwako Mzee Wangu J Mbwambo

Rubawa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
2,055
Reaction score
3,267
Habari za leo wana Jukwaa wenzangu naomba kwa yyote mwenyewe mawasiliano na mzee wetu J mbwambo muandishi nguli hapa nchini pamoja na kwamba mwaka juzi alitangaza kustafuu rasmi lkn kwa kinachoendelea nchini nafikiria tunaitaji kusikia au kusoma chchote toka kwake...
 
Mzee wa Raia Mwema
 
Wale ambao wengi walimpigia Chapuo Jiwe huku wakimponda Lowasa leo wanaona aibu.

Mmojawapo ni huyu Mpare, hasa makala yake ya mwisho kipindi cha Kampeni niliona aligusia suala la Afya ya Wagombea na kusema tumchague jiwe baada ya kuonekana anapiga "Push ups"
 
MMOJA WA WAANDISHI WACHACHE WENYE AKILI

J Mbwambo mzalendo, ana akili na mweledi sana. Ndio maana alitambua mapema kabisa kwamba Lowassa hafai kuwa rais wa Tanzania. Na hakuchaguliwa pamoja na mbwembwe zooote. Bahati mbaya watu wenye akilini na bongo nzuri kama Mzee Mbwambo tunao wachache nchini.
Wenye akili hatujutii hata siku moja kumchagua Daktari John Magufuli anafanya kazi nzuri sana. Siwashangai wanaomponda JPM kwa vile walizoea njia za mkato!!!! ... Poleni sana "Friends of Lowassa"!!!!
 
Back
Top Bottom