Hatua za kutoa mzigo uwanja wa ndege

Hatua za kutoa mzigo uwanja wa ndege

Amate J

New Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari ndugu na jamaa wa JF,

Naomba Masada jinsi ya kutoa mzigo airport (Mzigo wa biashara) hapa Tanzania.

Nahitaji Msaada hasahasa kwenye issue Kama vile :

1. Mapato yake yakoje? Mfano. TRA wanakata % ngap??
2. Documents zipi zinahitajika kupokelea ( mzigo umelipiwa toka huko)
3. Je, kuna Taasisi nyingine wanaohitaji kodi tofauti na TRA??
4.Mahitaji mengine na ushauri pia ni msaada kwangu.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom