13 Kiteto wafanyiwa operesheni za macho

13 Kiteto wafanyiwa operesheni za macho

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Watu 13 wamefanyiwa upasuaji wa macho kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo jicho la Mtoto na vikope.

Saraweki Mberwa mmoja wa Madaktari katika Hospitali ya Anglikan Diosis ya Kiteto ADK, alieleza kuwa lengo ni kuondoa upofu Kiteto.

Alisema Wilaya ya Kiteto inakabiliwa na tatizo la mahonjwa ya macho kutokana na maisha ya wenyeji wamasai.

Kwa upande wa wagonjwa wameelezea Opetesheni hiyo kuwa ni msaada kwako kwani huduma hiyo inapatikana Karibu na wao

Awali huduma hiyo ilipatikana hospitali ya Mvumi ya Dodoma tena kwa gharama kubwa.
IMG-20180801-WA0103.jpg
IMG-20180801-WA0091.jpg
 
Back
Top Bottom