Imetoka na kila kitu kipo sawaSalaam. Hapa naomba kuwasiliana na wenzangu walliokuwa PSPF wanijuze kana pensheni imetoka na kama kila kitu kiko sawa. Nashindwa kupata taarifa hizo kutokana na sehemu nilipo hivi sasa.
Asante.
Wakurochi( mzee wa pesheni)
Asante sana Mkuu nashukuru kwa taarifaImetoka na kila kitu kipo sawa