Achimwene2014
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 149
- 161
Salaam wakuu.
Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho.
OMBI:
Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa endapo si kweli kwani huku mtaani watu wanarubuniwa na hawa jamaa.