Wakuu baada ya kuchoka mitandao mingine kwa uchoyo wa vifurushi naomba nihamie ttcl ila sijajua kwa arusha internet yake inakamataje
Wapo vizuri???
VIPI KWA MAENEO KAMA MJINI NA MERU?
Town kati inashika vizuri 4g ukianza kutoka kama mm nakaa kimandolu inashika kwa tabu sana kama jiwe 1 na kupotea sema inafungua uko mbele kama kwa mrefu amana coverage mkuu
Town kati inashika vizuri 4g ukianza kutoka kama mm nakaa kimandolu inashika kwa tabu sana kama jiwe 1 na kupotea sema inafungua uko mbele kama kwa mrefu amana coverage mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.