Lugola kutumbuliwa saa yoyote

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Hivi huyu waziri katika utendaji kazi anajua Magufuli anafuatilia???
huyu waziri analeta mambo ya mizaha,Msigwa aliposema huyu ni mtu anapenda mizaha na utani hakukosea,tumejionea wenyewe vituko anavyofanya
tuorodheshe mizaha na utani wa huyu waziri
mbwa aletwe ndani ya masaa kumi na mbili,,,jana tumejionea kale kajibwa sijui kametolewa wapi
Lugumi aje ofisini kwangu???kufanya nini mbona kuna vyombo vya sheria????
anayesambaza picha za yule mkuu wa wilaya akamatwe???mbona yeye mwenye picha hakamatwi na alisambaza mwenyewe???
kutumbuliwa hakuepukiki hii wizara inaitaji watu smart na waliotulia kama Lukuvi
 
Unajuaje labda sinema zake zipo kwenye job description yake je? Aliyemuajiri ndio anajua zaidi anachokitaka toka kwa waajiriwa wake, unafikiri aliajiriwa kukutumikia wewe mkuu?
 
Msemaji wa polisi alisema sio kila kitu raia wa kawaida wakijue,mambo mengine yapo kimkakati(kuhusu mbwa aliyekuwa akipiga kitabu)
 
Naona unaota in HighDefinition (HD)
Keep dreaming dude...
tapatalk_1531465620116-jpeg.817111
 
EEee Mola tupe uhai na afya njema..... kuna mengi bado hatujayaona!
 
Hivi huyu waziri katika utendaji kazi anajua Magufuli anafuatilia???
huyu waziri analeta mambo ya mizaha,Msigwa aliposema huyu ni mtu anapenda mizaha na utani hakukosea,tumejionea wenyewe vituko anavyofanya
tuorodheshe mizaha na utani wa huyu waziri
mbwa aletwe ndani ya masaa kumi na mbili,,,jana tumejionea kale kajibwa sijui kametolewa wapi
Lugumi aje ofisini kwangu???kufanya nini mbona kuna vyombo vya sheria????
anayesambaza picha za yule mkuu wa wilaya akamatwe???mbona yeye mwenye picha hakamatwi na alisambaza mwenyewe???
kutumbuliwa hakuepukiki hii wizara inaitaji watu smart na waliotulia kama Lukuvi
Title yako haiendani na ugoro uliouandika ndani.
 
Kati ya Wizara ngumu basi ni ya Lugola

Unaweza ukapewa uiendeshe halafu usijue cha kufanya, ndio maana wahusika wanaishia kuokoteza okoteza mambo na matamko yasiyoeleweka ili waonekane wanafanya kazi.
 
Wagagagigikoko, na atawapelekea na kale kawimbo gerezani. Mda mwingi tuna stress zetu tunahitaji kuchekeshwa na waheshimiwa aisee. Wakishindwa kazi bora waendelee kutuchekesha tu!, tutapata furaha wakati tukiugulia ugumu wa maisha:eek:
 
Kati ya Wizara ngumu basi ni ya Lugola

Unaweza ukapewa uiendeshe halafu usijue cha kufanya, ndio maana wahusika wanaishia kuokoteza okoteza mambo na matamko yasiyoeleweka ili waonekane wanafanya kazi.
Inakuwa legelege kwakuwa Taasisi zote zinazozisaidia Wizara hii ya mambo ya ndani, zinaendeshwa kisiasa zaidi kuliko kitaaluma,,,
 
Back
Top Bottom