Radio hii iliyokuwa ikisikika katika masafa ya 88.5 MHz sasa haipo hewani huko Arusha kwa zaidi ya wiki.
Pia hawapatikani kwenye namba zao za simu. Nani anajua kinachoendelea kuhusu radio hii ya...
Kwa hali inayoendelea sasa nchini na ndani ya CCM, sio tu kunaua upinzani lakini pia inadhohofisha vyama vyote mpaka CCM yenyewe na hilo halina ubishi.
JPM na Polepole hawaamini katika siasa za...
Gazeti la Mwanahalisi linalomilikiwa na Saed Kubenea linatarajiwa kuingia mtaani/sokoni siku ya jumatano hii mara baada ya kufunguliwa na mahakama kutoka kifungoni.
Kuna mdau amenitonya kuwa moja...
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.
Hata wadau...
Kwa kiasi fulani Lissu ameanza kutoa taarifa juu ya wahusika wa shambuli lililokusudiwa kumtoa uhai. Kwa kuwa sasa upande wa pili umeanza propaganda ya kujiepusha na kikombe hicho kupitia akina...
" Sisi Wanazuoni ( Wasomi ) na Wataalam wa masuala ya Management tunamkubali sana JPM sasa Wewe uliyebaki huko ni nani kutuzidi au kama vipi jitokeze basi tuweze kukujua ".
Nikiri tu kuwa hata...
WAKATI uhusiano wa kibiashara baina ya Kenya na Tanzania ukirejea katika hali yake ya kawaida baada ya nchi hizo kutafuta mwarobaini wa mgongano wa kibiashara, mauzo ya bidhaa za Kenya nchini...
Habari wana jukwaa.
Hivi karibuni kumekuwa na mtindo wa walimu hasa wa shule za msingi kuwarekodi watoto na kisha kuzisambaza video hizo,
Binafsi nimefanikiwa kuona video 3 za walimu hao na...
KESI YA JERRY MURO YAZIDI ILIVYOUNGURAMA LEO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imepokea risiti ya pingu kama kielezo cha ushahidi katika kesi ya kuomba rushwa ya sh. milioni 10 inayomkabili...
Iko ivi tunasoma ktk vitabu vitakatifu kuwa kuna kitu kinaitwa mapepo (ambapo biblia haijatoa maelezo mengi kuhusu hawa viumbe zaidi kuwa ni wabaya ) au kwa imani ya kiislam wanaita majini (kwa...
Huo ni ushauri kwa watanzania wote wapenda AMANI kuhusu kumuombea Tundu Lissu apone haraka.
Ukifanya maombi maeneo yanayokubalika wala hutapata usumbufu wowote toka kwa mtu yoyote.
Huo ni...
Kiukweli Jeshi letu JWTZ ni moja ya Majeshi yenye nidhamu ya hali juu sana Katika Medeni za kijeshi.
Hii imekuwa ikitolewa kama mfano ktk mezani za kimataifa hasa JWTZ wanaposhiriki mission...
Vijana wanaotumia tiba mbadala ya heroin yaani methadone ktk clinic za Temeke, Mwananyamala na Muhimbili wanashukuru Sasa kwa dawa hiyo kuwa nguvu kama ilivyokuwa hapo awali.
Wiki kama mbili tatu...
Mimi mmoja wa Wastaafu na nimekuwa nikipata pensheni yangu kuanzia tarehe 28 kila mwezi lakini kwa mwezi huu imekuwa ni tofauti kabisa. Mpaka sasa sijajulishwa kupitia sms inayoniarifu toka NMB...
Japo serikali haijatangaza ila kwa sisi wakulima na wafanyabiashara ya chakula tushaona dalili hivyo wekeni akiba mfano huu ni msimu wa mavuno ya mpunga na mahindi lakini kilo ya mchele tayari ni...
MKUU wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja, Rajab Ali Rajab amepiga marufuku masheha kufanya suluhu ya kuwapatanisha watu wanaobainika kufanya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo kuwaozesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.