Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nina kijana anataka akimaliza form 4 while waiting results apate short course training ya computer. Shule /chuo gani kinaweza provide such training in Dar Es Salaam preferable gov one.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Irene uwoya na Hamisa Mobeto wamechukuliwa hatua na TCRA ya kuomba radhi baada ya kutupia picha chafu katika mtandao wa Instagram TCRA wamewachukulia hatua hiyo baada ya kukiri kosa na kuapa...
4 Reactions
87 Replies
30K Views
wakuuu habar zenu...nataka kusafirisha pilipili hoho toka mbeya kuja dar..ipi ni njia ya bei nafuu na salama ili zisibondeke
1 Reactions
10 Replies
2K Views
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ameongoza mamia ya wakazi wa wilaya ya Hai katika maziko ya aliyekuwa Ofisa Habari wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Hamza Temba katika kijiji cha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kimya sana, tunataka update ya Tarime mkuu.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Tahadhari Kwa watumia choo za Mbezi hazina ndoo unaweza subiri hata nusu saa wakati wakizitumia bafuni Kwa kuoga,yamenikuta Leo na mhudumu hakusikilizi zaidi ya kutaka chake 300/=nawakilisha
0 Reactions
17 Replies
2K Views
TANZANIAN POLICE OFFICER HIRED FRIEND TO GET HIS WIFE PREGNANT, TAKES HIM TO COURT FOR FAILING TO IMPREGNATE HER AFTER 77 TIMES In Dar-es-Salaam, a Tanzanian Court must decide on a honorable...
19 Reactions
273 Replies
46K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Kuna kitu ambacho wanaume wengi wa ki Tanzania tunakifanya lakini hatukijui kwa sababu ya kutoelewa science vizuri. Ngoja nitoe mfano ambao darasa hili...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Maombi yenu wakuu, Majuzi mama mwenye nyumba hapa nilipopanga kawapa kazi wanawake watatu wa kikurya kutoka tarime. Ni kazi ya kulima eneo la heka 4, Na kubeba tofali kama 900 hivi, Pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifurushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello ndugu zangu wapendwa ktk jina la muumba Wetu .Napenda kutoa shukrani zangu Kwa dhati jinsi mlivyonishauri kuhusu Kingamuzi kipi Kwa hapa Tanzania, nilipitia ushauri wenu wote Kwa wale...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vilio, simanzi na majonzi vilitawala vimetawala wakati mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akiongoza maziko ya aliyekuwa ofisa habari wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Hamza Temba...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi salamu! Baada ya mvutano wa muda mrefu na kutunishiana misuli baina ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa sana Paul Makonda na chombo cha habari cha Clouds media hatimaye Clouds...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako amewataka wazazi nchini kuwahimiza watoto kusoma masomo ya sayansi ili kuongeza idadi ya wahandisi watakaofanya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kinyerezi shule hali si shwari. Polisi njooooooo!
0 Reactions
31 Replies
5K Views
"Mwalimu aliingia darasani na kuwaonesha wanafunzi noti ya fedha ya shilingi elfu kumi. Ilikuwa mpya kutoka bank. Akawauliza wanafunzi kuwa ile noti ina thamani gani, wote wakajibu elfu kumi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi kama mdau wa media na mtu ambaye napenda kusikiliza redio wakati nipo free kufanya hivyo naandika haya yafuatayo kuhusiana na kudorora kwa East Africa Redio ya mzee R.Mengi.. Uwepo wa...
3 Reactions
241 Replies
39K Views
*TUMIA DAKIKA 3 KUSOMA HII* Lameck alikuwa akiendesha gari kwa kasi sana. Mara akakutana na akina Mama watatu ambao walinyoosha mkono kumuomba lift. Ingawa alikua na haraka lakini aliwaonea...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wadau wa jukwaa hili Nina shida ya kuonana na Hoyce Temu, ninahitaji kufahamu je kipindi chake cha Mimi na Tanzania kinaendelea? Je ofisi zake ziko wapi? Naomba kuelekezwa au hata mwenye...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari za jumapili ya leo wapendwa wanaJamiiForums. Leo katika kanisa la Kiinjili la kiluteri Tanzania, Singida Usharika wa Emanueli (msalaba mrefu) Nimetokea kupenda kauli ya msaidizi wa...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Back
Top Bottom