Yametoka majina juzi ya ajira mpya za afya. Vijana wameripoti , sasa wemerudishwa eti mpaka hela zitoke. Ni kweli au ndiyo gheresha? Tunaomba mwenye kujua atupe ufafanuzi
Hii picha Masoud Kipanya aliichora mwaka 2015, miaka mitatu baadaye Wachina wametoa aina hii mpya ya Bajaji, Je wao ndiyo wameiba wazo la Masoud, na kama wameiba wazo hili Masoud haoni umuhimu wa...
Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) limesitisha huduma ya umeme kwa baadhi ya taasisi za Serikali zilizopo mkoani Kilimanjaro baada ya malimbikizo ya deni kufika kiasi cha shilingi bilioni tatu...
Pembe nyingi tu zipatazo 214 zimekamatwa na Polisi wa Mkoa wa kinondoni maeneo ya kimara usiku wa kuamkia leo.hongera kwao askari wa doria pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni.
Kuna huu msemo eti wanajenga fly over.Hivi kweli mtu uloenda shule unaweza sema hivyo,?Halafu huu usemi ni Bongo tu nimeusikia,ngoja barabara zenye hip fly over ziishe nione kama kuna gari itaruka.
Kwa mwendelezo huu ambao kusafiri usiku kumekuwa heri mno kuwapisha wale jamaa na kero zao, tutegemee matukio mengi tu ya Aina hii. Eeh mola wetu ni Dua zetu kwako utunusuru na haya ambayo common...
Hivi ndivyo Fatma Karume alivyoandika katika mtandao wa twitter:
Mwisho,for those Tznians travelling abroad,if they ask you why you are travelling say "Nina kwenda kwa Kinyozi".Maana kwenda kwa...
KATIKA nchi nyingi anwani hutia ndani nchi, jiji, na barabara. Acheni basi tuseme “nchi” ya dunia ni kikundi cha nyota cha Kilimia, “jiji” lake ni mfumo wa jua, yaani, jua pamoja na sayari zake...
Nimemaliza kusoma kitabu cha kumi mwaka kwa 2018. Hiki ni kitabu cha Benjamin Carson: You have a brain… kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo Ben na kaka yake walivyolelewa na mama yao, na zaidi ni...
Wakuu, nimetoka sehemu pana king'amuzi cha Azam TV na kukuta fainali ya mashindano ya Ndondo. Cha ajabu natafuta Clouds kwenye DSTv naambulia giza tu.
Kulikoni?
Ndani ya wiki moja waandishi wa habari wawili wamepoteza maisha ,tumeona mwandishi wa habari wa wizara ya viwanda na biashara amefariki, na huyu wa leo wa wizara ya maliasili na utarii naye...
Kumekuwa na hurka ya polisi kufukuzia raia wasio vaa helmt hata wakiwa na abilia ,swala hili limekuwa kero kwa wananchi wa namanga na longido kwa ujumla ,kwa mujibo wa vijana bodaboda wakishikwa...
PHONE ADDICTION SIGNS AND EFFECTS.
SIGNS:-
1. A need to use the cell phone more and more often in order to achieve the same desired effect.
2. Persistent failed attempts to use cell phone less...
Mr Ebo aliwahi kuimba wimbo Fulani "wazee wasamani natusuga,oooh wazee wasamani nadanganya oooh....''.
Wazee wetu ,wazazi na watu wengine waliotuzidi umri kuna vitu walikuwa wanatuambia ili...
Hizi ajali zinazoendelea kupanda kasi kila siku
kiukwel haya ndo matokea halisi ya ukaguaji vyetii
Hi inatokana na malena wengi wasio kua na uzoefu kukabidhiwa magari ya viongozi,, kisa wana...
Tangu mwaka jana mwezi wa 9, nimemaliza michakato ya kulipia Gharama za kuunganishiwa umeme lakini mpaka leo hii trh 25/04 mbona kimya? nyumba yenyewe nimejenga kwa shida mpaka hapa nilipofikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.