Kuna watu huwa wanastaafu kazi fulani halafu wanapewa kazi nyingine ha huko tena wanastaafu. Sasa je hawa watu wanakuwa na mafao ya kustaafu mawili au inakuwaje? Mfano ukisikiliza na kufuatilia...
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema serikali haijakurupuka kutekeleza mradi mkubwa zaidi wa umeme nchini wa Stiegler’s Gorge utakaozalisha umeme mwingi kuliko wote unaozalishwa...
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuanza msako wa kuwakamata wahamiaji haramu waliojificha kwenye mashamba na majumbani.
Ametoa agizo...
Kuna watu wengi wanapofikia hatua ya Kuoa, wanakwamba linapokuja suala la Mahari.
Wakati wingine watu wanaingia kwenye ndoa na madeni makubwa ili kukidhi matakwa ya Mahari na sherehe.
Wazazi...
NAIBU Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu, amesema milango ipo wazi kwa wabunge na madiwani wa chama hicho wanaokubali kurubuniwa na kukikimbia chama
Alisema wabunge na madiwani hao...
Anayekumbuka hadithi hii anisimulie tena kuna vitu nataka nivipate. Najua ilikuwa na funzo kwamba Dunia haina siri.
Najua wahusika ni Mfalme, kinyozi na baadaye mti ulioota baada ya kinyozi...
Watu wawili wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wakichimba madini ya dhahabu katika machimbo madogo yaliyoko mtaa wa Buguti Kata ya Turwa wilayani Tarime.
Akizungumza...
Leo kuna sehemu nimeamkia,yaani kuna jirani nyumba ya pili anasafisha kinywa kama anataka kufa,hayo makohozi anavyoyavuta na kujikoholesha,utadhani alikula kinyesi,yaani mtu mmoja anasafisha...
Kwa wale wapenzi wa Series ya Into the Badlands, nitakuwa nikiweka subtitles za Kiswahili za seasons 3 kwenye uzi huu.
kwa kuanzia nimeanza ni pesode ya kwanza.
Ili kuweza kufaidi hiyo subtitle...
Naomba kuuliza wadau huenda ckusikiliza bajeti vizuri,hivi hizi pesa za uchaguzi wa marudio zimepangwa bungeni au wanazichota wapi???
Na kama zimepangwa bungeni,idadi ya chaguzi zitakazorudiwa...
Hivi mwananchi ataweza kumsikiliza na kutii maelekezo ya Dc huku akijua in kada wa chama Fulani na yeye mwananchi in chama kingine,bado kwenye kupigiwa salute mheshimiwa atapigiwa salute yeye...
Habari kwenu wana JF.
Nianze na mada. Miaka ya 2000 mwanzoni, alikuwepo mtangazaji maarufu mwenye mikogo ktk usomaji taarifa za habari na magazeti wa DW kiswahili. Aliitwa Manase Rukungu na...
"Makumbusho mia tatuuu, makumbusho mia tatuuuu !!! Panda ukaeee"
Alisikika konda kwenye kituo cha Mwenge Mataa (mkabala na kiwanda cha Shellys Pharmatheutical) akipaza sauti kuwavuta abiria wengi...
Nimepata kuona vipindi mbalimbali vya mheshimiwa Ayubu Mzee vinavorushwa na kituo cha televisheni kiitwacho Ben kila Jumanne na Alhamisi saa za jioni.
Mara ya mwisho kuona moja ya vipindi hivo...
Kwakwel siangaliag TBC,sasa leo nmerud home kumbe kingamuz kimeisha bana,sasa hua kinabak na chanel mbil TBC na channel 10..sasa TBC kwa utangazaj huu wa kishamba watangazaj kama mnatongozana...
Sisi watanzania ni wavivu wa kufikiri tunafikiri ila hatufikiri cha maana
Hatuna ubunifu hata wa biashara na pesa na teknolojia tumebaki tukikalia tu yale yale
Pia hatuna uthubutu ni kukaa tyu...
Watanzania huwa ni wanafiki sana ndiyo maana hatuamini hata kidogo.
Tundu Lissu amewalalamikia wafuasi wake kuhusu usalama wake kuwa Kuna gari inanifuatafuata lakini cha ajabu hakuna hata mpenzi...
January MakambaVerified account @JMakamba
Mdogo wangu uliyepata nafasi ya uongozi, jitahidi kukataa: kufunguliwa mlango wa gari, kubebewa mfuko au sahani ya chakula kwenye buffet, kulazimisha...
Ni naamini ni wazima wa afya
Kwanza naomba ifahamika mimi ni muumini ninaeamini katika kristo Yesu, ninaefahamu kuwa kanisa ni mtu na bila mtu hamna kanisa:
Kuna kipindi kuliibuka topic mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.