Lipi neno sahihi: Academic au academician?

Lipi neno sahihi: Academic au academician?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,764
Reaction score
71,794
Habari zenu waungwana.
Kuna mkanganyiko ambao mimi naupata kutoka kwenye matumizi ya haya maneno mawili. Tanzania tumezoea neno "An Academician" kumaanisha Mwanazuoni. Lakini nchini Uingereza na Marekani wanatumia neno "An Academic" kumaanisha Mwanazuoni: Sasa lipi ni sahihi au utofauti ni upi hapa ???

CC: Wick , Prof , chige , Kiranga , Wyatt Mathewson msaada wenu tafadhali
 
Mwana taaluma=Academician , academic= kitaaluma , mara nyingi ufuatia na meno nyingine kilema maana zaidi mfno ,Academic matters, academic history etc.
 
I think it's clear now.
IMG_20180805_142623_589.jpg
 
Hili neno limezua taharuki, kuna maprofesa na madokta wamemshambulia dada moja hivi aliandika An Academic. Wao wakasema rekebisha weka Academician......
Labda sababu kalitumia eneo ambalo American Language haina nguvu zaidi!.
Sawa na Labor Vs Labour kuna maeneo yanatatiza kutumika.
 
Sasa mnashindana na kingereza cha muingereza kinachotumika uingereza? Tafuta kamusi ya oxford utapata majibu na sio google yenye athari ya mmarekani.
 
Yote yapo sawa. Inategemea unaandika nini. For example, you can write " This was purely academic" or "Academicians tend to be very theoretical in their arguments". Sometimes you can refer to "an academician" as "an academic"
 
Right.

Plus. An academician is almost always a person. But "an academic" can be anything related to academy such as attitudes, theories etc.

Academician is a noun, academic can be a noun or adjective.

From www.dictionary.com

ac·a·de·mi·cian

ˌakədəˈmiSHən,əˌkadəˈmiSHən/

noun

1.

NORTH AMERICAN

an academic; an intellectual.

2.

a member of an academy, especially of the Royal Academy of Arts, the Académie Française, or the Russian Academy of Sciences.

ac·a·dem·ic

ˌakəˈdemik/

adjective

1.

relating to education and scholarship.

"academic achievement"

synonyms:educational, scholastic, instructional, pedagogical More

2.

not of practical relevance; of only theoretical interest.

"the debate has been largely academic"

synonyms:theoretical, conceptual, notional, philosophical, hypothetical, speculative, conjectural, suppositional; More

noun

1.

a teacher or scholar in a college or institute of higher education.

synonyms:scholar, lecturer, teacher, tutor, professor, fellow, man/woman of letters, don, bluestocking;More
 
Yote sawa tu, moja inatumika USA nyingine Uingereza, sisi tumeachiwa na Uingereza lkn kama yalivyo mambo mengi Uingereza wenyewe pia wanachukuwa maneno ktk USA, hivyo wanabadilisha pia ili waendane na USA lkn sisi tumebakia na walichotuachia!
 
Mimin naona academician limekaa vizuri zaidi...
 
Mimin aona academician limekaa vizuri zaidi...
Inategemea matumizi.

Ukiiita theory academician wanaojua matumizi mazuri ya Kiingereza wata raise eyebrows.

Labda uiite "academician's".

Theory inaweza kuwa academic. Professor aliyetoa hiyo theory naye academic. Professor anaweza kuitwa academician.

Theory, for the most part, in proper usage, as far as I know, haiitwi academician. Inaitwa academic.

.
 
Habari zenu waungwana.
Kuna mkanganyiko ambao mimi naupata kutoka kwenye matumizi ya haya maneno mawili. Tanzania tumezoea neno "An Academician" kumaanisha Mwanazuoni. Lakini nchini Uingereza na Marekani wanatumia neno "An Academic" kumaanisha Mwanazuoni: Sasa lipi ni sahihi au utofauti ni upi hapa ???

CC: Wick , Prof , chige , Kiranga , Wyatt Mathewson msaada wenu tafadhali
Kwani lipi neno sahaihi kati ya lift na elevator? Maana Marekani wanatumia neno elevator, na Uingereza neno lift.
 
Yote sawa tu, moja inatumika USA nyingine Uingereza, sisi tumeachiwa na Uingereza lkn kama yalivyo mambo mengi Uingereza wenyewe pia wanachukuwa maneno ktk USA, hivyo wanabadilisha pia ili waendane na USA lkn sisi tumebakia na walichotuachia!
Daaah, ukiwa unaandika hivi kila siku utakuwa rafiki yangu kweli......
 
Back
Top Bottom