Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sadaka zenye baraka ni zile zinazolenga utukufu kwa wa Mungu sio zinazolenga heshima kutoka kwa watu
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi sasa ni dhahiri kuwa baada ya anguko la Mange Kimambe ambaye hana hoja tena, Tanzania imepata majaribu mengine katika kuelekea safari yake ya mabadiliko; majaribu ambayo hata hivyo ni lazima...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Watoto wawili wa kike, mmoja wa mika miwili na mwingine wa miezi 6 wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuungua moto. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 7 katika...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
MKOA wa Simiyu unatarajia kupata uwanja wa ndege utakaojengwa mpakani na Hifadhi ya Taifa Serengeti. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Dk Richard Mayongela amesema sasa ni...
0 Reactions
3 Replies
47K Views
ELIMU TUNAYOITOA TANZANIA NI ELIMU YA KUKARIRISHANA NA INAUA VIPAJI VYA WATANZANIA. Kuna mambo mawili nitayazungumza leo kuhusu Elimu yetu. Moja ni lugha tunayoitumia kifufundishia mashuleni na...
15 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu, Sisi wote ni vijana,hivyo ni vizuri kushirikishana. Miye ningependa kwenda nchini Kuwaiti kuwa minajili ya kibiashara,na pia pia kwa makazi ya muda mfupi. Ningependa kujuzwa na wale...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuelimika maana yake ni kuwa na maarifa ama kujua vitu vingi vyenye kukusaidia kuyajua mazingira na kukabiliana na changamoto zake kuliko awali Mtanzania anayejua Kiingereza inaamisha anajua...
24 Reactions
185 Replies
15K Views
Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000 Nyingine ni; 1. 40,000 Sept 2. 90,000 Sept 3. 40,000 Oct 4. 50,000 Sept 6. 70,000 Aug 7. 150,000 Oct 8. 35,000 Nov Total...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Waaah, sijawahi waza kuna baiskeli za bei hii. Eti $ 11,999.99. Na hapo bado nitumie miguu yangu kuisukuma huko milima ya uluguru, na hapo inakuja bila pedals, hizo unalipia extra.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msimu unaelekea kuanza wa ligi kuu Tanzania Bara 2018/2019 ambapo kwa sasa utajulikana kama TPL Ila hatujafaham nani au kampuni gani ya television itakuwa inarusha hayo matangazo moja kwa moja...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wimbi la Wizi na Utapeli kupitia mitandao ya simu linazidi kuongezeka,Vijana wanatafuta njia nyepesi za kupiga pesa. Nimefanya study yangu ndani ya mwezi huu nimegundua hawa matapeli ni...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Shirika la ndege la Saudi Arabia liitwalo Saudia Airline limesema litasimamisha safari zake kwenda mji wa Toronto Canada kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo. Hatua hii inakuja baada ya mgogoro baina...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni baada ya kuona tangazo la TCRA kuhusu dstv kufutiwa leseni. Nimejaribu kuangalia chanel muda huu kwenye king'amuzi cha dstv, nashangaa kukuta hizo chanel mbili hapo juu, hazipo kwenye orodha ya...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Ni KERO na hzi SMS za waganga,kwa nini simu yangu inakuwa ubao wa matangazo??????? lafiki yangu juma huyu mzee ndiye aliye nisaidia utajili nilionao sasa mpigie hizi namba 0742263717 ninaimani...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema Afrika itaacha kutegemea fedha za wahisani katika shughuli zake za maendeleo endapo itadhibiti usafirishaji fedha haramu, itaongeza ukusanyaji kodi na pia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wotehumu. Ninaomba kufahamishwa kitu hapa tafadhali. Ni kuhusu uongozi, kwamba katika nchi kuna viongozi wakuu. Kwanza ni,rais 2,makamu wa rais.. alafu kuna waziri mkuu, jaji mkuu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu yangu ilipatwa tatizo la kuto vibrate nikapeleka kwa fundi mazingira niliyo peleka skua na uwenyeji nilikua safarini fundi alitengeneza vizuri tatizo likaisha tena kwa mda mfupi tu, zimepita...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni swali nililoulizwa na mdogo wangu wa darasa la tano. Kaniuliza, kaka hizi wizara mbili 1. Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala bora 2. Ofisi ya Rais, tawala za mikoa na serikali za mitaa...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.4 Kipimo cha tetemeko na kina cha Kilometa 10 limetokea katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Rukwa na maeneo ya jirani usiku wa kuamkia leo Tetemeko hilo ambalo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
PARAPANDA... Lyrics1: NYERERE:Karibu Mzee kingunge,kwenye makazi ya milele Mi huku na mji wangu,tayari unaitwa Nyerere Nimeshtuka kukuona huku,nini chanzo cha msiba? KINGUNGE:Ni mipango ya...
3 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom