Kuona kwa vitoto vya mbwa

Kuona kwa vitoto vya mbwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,985
Reaction score
104,411
Vitoto vya mbwa vikizaliwa vinachukua siku ngapi kuona?
 
Wengi ni kuanzia 3 hadi 7. Usihofu watafunguka macho tu
 
Ni siku saba normally!

Nimesema ni kuanzia 3 hadi 7 hivyo sijui kama ni kutokana na jamii au vipi ila nimewahi ona wa kwangu walianzia 3 au 4 sikumbuki vizuri lakini 4 walikuwa wengi wao tiyari. Hawafungui wote siku moja.
 
Wengi ni kuanzia 3 hadi 7. Usihofu watafunguka macho tu
asante sana,
Nimesema ni kuanzia 3 hadi 7 hivyo sijui kama ni kutokana na jamii au vipi ila nimewahi ona wa kwangu walianzia 3 au 4 sikumbuki vizuri lakini 4 walikuwa wengi wao tiyari. Hawafungui wote siku moja.
naona havioni vinataabika sana
 
asante sana,

naona havioni vinataabika sana

Kama ndio kwanza unaanza kuwafuga mbwa utakuja wapofusha kwa kuwasaidia kufungua macho yao. Waache tu ndivyo hufunguka macho. Hawatafunguka wote mara moja
 
OK, ndio nafuga mbwa wa kuzalia kwangu. nilkuwa nanunua! Basi naviacha vijitawale!
 
Kuna Jamaa Ameweka Thread Akiulizia Njia Ya Kumuua Mbwa, Wewe Hapa Unaulizia Vitaona Lini, Yaani Vitakua Lini!
Kweli Ukikiona Cha Nini, Mwenzio Anawaza Kitakuwa Lini!
 
Ulinzi ndugu yangu! Hawa ni muhimu kama unaishisehemu yenye vibaka, at least watakustua ujiandae na mapambano!
 
Back
Top Bottom