Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Naomba kuuliza wadau huenda ckusikiliza bajeti vizuri,hivi hizi pesa za uchaguzi wa marudio zimepangwa bungeni au wanazichota wapi???
Na kama zimepangwa bungeni,idadi ya chaguzi zitakazorudiwa zilikisiwa vipi??
Inakisiwa gharama uchaguzi mmoja wa kiti cha ubunge si chini ya 500mTsh na wa madiwani @100mTsh.
Fedha zinazotumiwa na vyama nazo zimekosa kazi??maana kila chama kina vipaumbele vyake na hakuna chenye vipaumbele/kilichojiandaa kutenga pesa za marudio.
Nimehoji tu naogopa 1.5Tr nyingine za sisi walipa kodi zisijekwenda pasipojulikana.
#kodiyanguinatumikaje?
Naombeni majibu wakuu