Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Anayekumbuka hadithi hii anisimulie tena kuna vitu nataka nivipate. Najua ilikuwa na funzo kwamba Dunia haina siri.
Najua wahusika ni Mfalme, kinyozi na baadaye mti ulioota baada ya kinyozi kuchimba shimo na kuongea ile siri kisha kulifukia.
Nadhani hadithi ile ilikuwa pana sana... nisimulieni nitafakari tena.