RUPEE, SHILINGI 1 & SENT 5

RUPEE, SHILINGI 1 & SENT 5

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
792
Wanaotafuta hizi hela sijafahamu wanahitaji ili wazifanyie nini...!!???

Tangia nikiwa mdogo hadi leo sijui siri ya hawa watu wanaozihitaji na sijaona aliyenithibitishia ukweli wa biashara hii! ???

Kwa wale wanaoelewa hii biashara msaada wenu wa kiufafanuzi tafadhali.

Maana moja tu kati ya hizo pesa ninanazo ila soko lake naona kila mtu ananitajia kiwango chake sasa naomba kwanza kujua huwa wanazihitaji kwa ajiri gani kabla nami sijawauzia.
timothy_a.k.a_big_daddy-20180806-0001.jpg
 
Hii dunia ina mambo sana kama wanazinunua bei mbaya kwanini wasizitenezeshe tu viwandani wakawa nazo
 
Wewe unazo kwa sababu gani hadi uanze kujua wanaozitafuta wanazitafuta kwa matumizi yapi?
Me nimeuliza tu kwa 7bu nimesikia kuna watu wanazinunua kwa bei mzuri sana ila kabla sijaiuza hii yangu naomba kujua wanazihitaji kwa madhumuni gani
 
Jirani yangu anachimba inasemekana alianza hii kazi alipo hitimu elimu yake ya middle school 66,mzee bado hakati tamaa sasa ana miaka 70+
 
Wanaotafuta hizi hela sijafahamu wanahitaji ili wazifanyie nini...!!???

Tangia nikiwa mdogo hadi leo sijui siri ya hawa watu wanaozihitaji na sijaona aliyenithibitishia ukweli wa biashara hii! ???

Kwa wale wanaoelewa hii biashara msaada wenu wa kiufafanuzi tafadhali.

Maana moja tu kati ya hizo pesa ninanazo ila soko lake naona kila mtu ananitajia kiwango chake sasa naomba kwanza kujua huwa wanazihitaji kwa ajiri gani kabla nami sijawauzia.View attachment 828203
kwanza: hazina kazi yeyote.
pili: ni rupie ya kijerumnani (kabla 1910)na sio ulizoweka hapo
tatu:
hazina maana...!!!!!
 
Jirani yangu anachimba inasemekana alianza hii kazi alipo hitimu elimu yake ya middle school 66,mzee bado hakati tamaa sasa ana miaka 70+
Sijakuelewa mkuu nini unamaanisha
 
Back
Top Bottom