Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1.Kauaminiwa na watu sana wakati huna chochote. 2.Kuombwa ushauri na idadi kubwa ya watu hata waliokuzidi umri na wakati mwingine kwa mambo makubwa ambayo hujawahi kuyapitia mfano ushauri wa ndoa...
22 Reactions
24 Replies
7K Views
Tafsiri ya jangwa iko wazi... Ni mahali pasipomea... Sehemu kame kabisa... Jua kali pamoja na joto kali mchana... Usiku baridi kali na wakati mwingine upepo pia.. Jina la sehemu yenye jangwa...
15 Reactions
116 Replies
11K Views
Kampuni ya Earthwise Ferries (T) LTD ambayo imeleta boti ya kisasa MV Bluebird kwa ajili ya safari za Bukoba na Mwanza imepunguza nauli kutoka Tshs 50,000 hadi Tshs 30,000 kuanzia tarehe...
6 Reactions
37 Replies
14K Views
Ndugu watanzania wenzangu mnaotumia kisembusi cha Azam,, kutokana na sintofahamu inayoendelea Azam TV Nimeamua Rasmi kutokulipia gharama za kifurushi chao hadi hapo watakapojirekebisha. 1...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu salaam sana, Leo nimeshangaa nimetafuta cement toka asubuhi ndio nabahatisha jioni hii mifuko 5 tu,kwani kuna shida gani mfuko @15,500 hapa tu kiluvya dsm Yaani inagombewa
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau leo nimefanywa vibaya kuna jitu nimelipa maelekezo liniingizie cash kwenye line ya Zantel basi lenyewe limeniingizia muda wa maongezi wa pesa hiyo sasa hapa kichwa kinauma. Kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Taarifa tu Kwanza nawapa pole woote kwa msiba wa ndugu yetu King Majuto(rip) na pole sana kwa Mwenyekiti wa kamati za mazishi za wasaniii naona kazi inaendelea Kupanda kwa gesi Kuanzia jana...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari wakuu Naomba msaada nimekwama kwenye upande wa methodology katika research Area Tittle yetu ni: Assesment of community participation in constituent development funds projects in Dodoma...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo alfajiri nikiwa naskiliza Radio ya Taifa TBC...ilikuwa ni Hotuba ya Baba wa Taifa Mzee J.K. Nyerere na yafuatayo ndio niliyoyasikia, nanukuu kama NILIVYOSIKIA: "...tumelima wote, basi mwisho...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu wa nchi natumaini mnaendelea vizuri, Naomba kuuliza kama kuna mahali naweza kupata bima ya afya, nimeenda NHIF. Naona masharti yao kidogo ni magumu, unatakiwa kulipa million 1.5 kwa mwaka...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Hivi chama tawala kingeitisha mazungumzo ya amani na vyama vyoote vya siasa inchi kungekua na ubaya gani. Maana kila kukicha vyama pinzani vina lalamika kwamba vinaminywa kufanya mikutano...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii ni hospitali ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili, (MUHAS) iliyopo katika Kampasi ya Mloganzila. Historia ya chuo hiki inaanzia mwaka 1963, pale serikali ilipoanzisha Shule...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Tatizo Waane anasema msukumo wa kawaida wa damu ni 120/80 mmHg. Mtu atabainika kuwa na shinikizo kubwa la damu...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
habari Zenu wakuu nataka nije nifanye tukio la kipekee kwenye nchi hii ili niweze kukumbukwa na vizazi vijavyo kwamba alikuepo fundi bishoo alifanya tukio fulani sasa nawaza nifanye tukio lipi la...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Kuna kasumba fulani ya vijana tena ambao wametoka familia maskini ama za kawaida, na wengine wale 'watoto wa mama' ambao wanapenda sana kuunganisha digrii ya kwanza, pili na tatu kama...
4 Reactions
23 Replies
10K Views
Kwa wale waliowahi kuishi na kufanya kazi nchini Malawi naomba waje tujadili changamoto na raha za huko. binafsi nimeishi miaka ya 2000 mwanzoni. Nilipenda tabia zao, sema wanapiga sana gongo.
4 Reactions
223 Replies
37K Views
Tatizo ni Intelligence, ustaarabu au ubinafsi? Nini kinasababisha mtu ambaye hata yeye sasa hivi anaweza kuangukiwa na Lori la mchanga kushangilia mwingine akipata ajali?
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Magufuli alipoingia madarakani pamoja na mambo mengi pia alizuia mikutano ya kisiasa.Binafsi mwanzo nilihisi hii itamsaidia kupita kwa kishindo mwaka 2020 ila baada ya kutafakari nimegundua...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Biblia inasema " Wanaume ishini na wake zenu Kwa akili" Hapo maana yake ni kwamba mwanaume anaetakiwa kuishi na mwanamke ni lazima kwanza awe na akili ili aweze kuitumia kuishi na mwanamke...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Back
Top Bottom