Cement imekuwa dili

Cement imekuwa dili

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Wakuu salaam sana,
Leo nimeshangaa nimetafuta cement toka asubuhi ndio nabahatisha jioni hii mifuko 5 tu,kwani kuna shida gani mfuko @15,500 hapa tu kiluvya dsm
Yaani inagombewa
 
Nilipo mimi zimejaa tele madukani
Pesa yako tu
 
Hizo ni mbinu za wafanyabiashara za kuchezea sharubu za simba.

Hao suppliers wana mawasiliano namna ya kuuma na kupuliza na kisha kuusikiliza upepo jinsi gani unavyovuma...'raia wanasemaje'...'serikali inasemaje'... Ili serikali ikizubaa kidogo tu, tayari wanatengeneza kanuni ya kukamua faida kiubwerere!
Ulionaje kwenye 'saga' la mafuta ya kupikia?

Saruji nayo ni ya kuadimika kama sukari?
 
Wekeni mikakati basi haya mambo yafe,
Tunakwamishana.
 
Wakuu salaam sana,
Leo nimeshangaa nimetafuta cement toka asubuhi ndio nabahatisha jioni hii mifuko 5 tu,kwani kuna shida gani mfuko @15,500 hapa tu kiluvya dsm
Yaani inagombewa
Huku kwetu bei ni 20/bila usafiri.nitumie ya kutosha tupige hela .#Mwanza
 
JANA NILITEMBEA DODOMA,CEMENT ZINAZOAMINIKA KUWA NI BORA NAZO PIA ZIMEADIMIKA

WANANCHI WANALAZIMIKA KULIPIA CEMENT AMBAYO BADO IPO KIWANDANI
 
Wakuu salaam sana,
Leo nimeshangaa nimetafuta cement toka asubuhi ndio nabahatisha jioni hii mifuko 5 tu,kwani kuna shida gani mfuko @15,500 hapa tu kiluvya dsm
Yaani inagombewa
Mkuu mpaka hiyo sgr na stiglaz viishe tutanyooka kweli maana nimeona hii projet ya sgr cement kibao nondo zinazotumika ni kubwa kama mguu wa mtu mzima labda ujaribu kenya utapata sgr yao naona ujanjaujanja nondo kama vijiti kwahiyo bidhaa zitakuwepo tu.
 
Hizo ni mbinu za wafanyabiashara za kuchezea sharubu za simba.

Hao suppliers wana mawasiliano namna ya kuuma na kupuliza na kisha kuusikiliza upepo jinsi gani unavyovuma...'raia wanasemaje'...'serikali inasemaje'... Ili serikali ikizubaa kidogo tu, tayari wanatengeneza kanuni ya kukamua faida kiubwerere!
Ulionaje kwenye 'saga' la mafuta ya kupikia?

Saruji nayo ni ya kuadimika kama sukari?
Sukari mliropoka hivyo hivyo, mpaka leo sukari 2800/= au bado imefichwa na wafanyabiashara store....!!!?
 
Eti kuna jamaa kaniambia watu wanajenga sana kuliko uwezo wa kiwanda kuzalisha ?ni kweli hayo?
 
Mmh hatari huku leo imekuja ni 13500
Shukuru Mungu huko ni 13500/-, huku kwetu imefika 15000/- bila usafiri, terrible!!!

Watu wakisinzia kidogo tu huku tunapigwa za uso, tena nyingi tu.
 
Napenda iwe hivi tu maana tukisema maisha yamekuwa ghari watu wanasema tunatekeleza na mjue huo ndio UTEKELEZAJI
 
Ni vema waziri wa viwanda aje atueleze ni vipi cement imetoka 11500 mpaka 20000. Au ujenzi hautakiwi tena hapa bongo
 
Back
Top Bottom