Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za mihangaiko!! Binafsi, kuna jambo linanitatiza sana(NB:kama nimekosea Jukwaa Mods fanyeni kazi yenu) Nimetokea kupendwa na watoto wadogo kwa muda mrefu sasa hadi najishangaa...
7 Reactions
82 Replies
10K Views
Ijapokuwa kumekuwepo na kasumba ya kuamini ushirikina wa kila aina tulioukuta humu duniani lakini nachelea kusema kuwa hapatatokea uchawi ghali zaidi duniani kama matumizi sahihi ya uwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau nimejaribu kwa MPesa wanasema huduma imesitishwa na vituoni kwao pia hawatoi huduma! je ni njia gani nyingine ya kujaza maana sie wa mbezi bila kutumia kadi ina cost tsh 250 ya ziada kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JUMLA ya Sh bilioni 45 zinatarajia kutumika katika ujenzi wa vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwa mikoa ya Njombe, Geita, Rukwa na Simiyu. Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Juzi nikiwa mkoani Tanga nilijikuta nikisimamishwa na askari polisi akaniambia kuwa kilomita 9 kabla ya kituo chao nilipigwa tochi tena mwanzo wa kibao kinachomalizia limit ya spidi ya 50 km/hr...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Sometimes uchawi ni kama kick tu! Haiwezekani mtu akatoka Dsm mpaka Kigoma eti kwa fisi ama ungo. Ni uongo mtupu. Tuaikubali kudanganywa kizembe hivyo. Halafu mbaya zaidi tunadanganywa eti...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga. Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza...
3 Reactions
145 Replies
19K Views
Kama kuna mageuzi yaliyonisikitisha, ni uamuzi wao wa kuondoa chaneli muhimu za ndani kama ITV, Star TV, Channel 10, ...katika free to air pavkage. Kwa sasa wamebakisha chaneli 2 tu: Azam Extra...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Habari wana JF, ni matumaini yangu mko poa na weekend inaendelea vzr kama kawaida. Leo tarehe 4 august majira ya saa 10.30 nilkua nikitoka posta kuelekea ferry nikiwa mm na rafikiangu, kufika...
7 Reactions
106 Replies
15K Views
Ngoja niwapatie kile ninacho kifahamu! Nimeona kwa wiki kadhaa watu wakilalamika mtandaoni na kutoa shutuma kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA: Kuhusu Azam Tv kutokurusha habari! Utaratibu...
62 Reactions
156 Replies
25K Views
Leo nimeona niandike jambo flan juu ya hawa watu maana wanatumia mamlaka yao vibaya sana. Sifa kuu ya Civil Engineers sio Cheti chenye Ufaulu mkali ukijisifia umetoka na GPA kali sana chuo kikuu...
6 Reactions
138 Replies
17K Views
Nahitaji Kufanya Malipo Katika website fulani nje kiasi kama $5 Tu. Naomba Msaada mwenye card au paypal account Ni muhimu sana kufanya leo kabla ya saa 5 usiku, naombeni sana msaada wakuu jamani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ingawa kuna majibu mengi sana kuhusiana na maisha yetu hapa Duniani. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kwa mfano kuna mtu aliyejlikana kama Steve Paul Jobs wakati akiwa kitandani kwa ugonjwa wa...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu, hivi kweli tutashindana na haya mashirika kama SAA, Emirates au Ethiopian Airways? Pamoja na mahela yote tuliyolipa, cash, hii ndio business class waliyotutengenezea? Haya, ngoja twende...
2 Reactions
106 Replies
15K Views
Samahani waungwana mim ni hoja fupi tu Hivi kulingana Na mada hapo juu HIV ni sawa kumfanyia hivyo mshkaji wako ambae katingwa Ila unapomsaidia unaweka kipengele cha asilimia kumi wengine hadi...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa asiyeweza kunisaidia katika hili naomba pls apite tu,staki kejeli yoyote. Kwa miaka zaidi ya 15 iliyopita hadi sasa nimekuwa naota nipo na marais wa mataifa tofauti duniani,nikiamka asubuhi...
2 Reactions
33 Replies
13K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba kufahamishwa ni aina gani ya vibali vinaitajika ili niweze kusafirisha uduvi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine bila kupata usumbufu wowote ule...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Pombe sio Chai tuliipenda wenyewe wacha tuinywe, Leo pombe ile tuliyoichagua imetulewesha inatupeleka inavyotaka, ikisema pita huku unapita ,kojoa hapa unakojoa ukijaribu kuipinga ata kidogo...
10 Reactions
53 Replies
8K Views
Vitendo vya Ugaidi ni miongoni mwa stori zinazoshika na kuweka headlines kubwa sana duniani, na kwa sehemu nyingi za dunia vitendo hivi sio vya mchezo kabisa. Kutokana na ukuaji mkubwa wa vitendo...
1 Reactions
38 Replies
12K Views
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wafanyabiashara kufanya usafi katika maeneo ya maduka yao. Amesema atakayeshindwa kufanya hivyo, atakamatwa na askari wa Jeshi la Kujenga...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom