Nimebahatika kuwa kwenye kamati mbalimbali za harusi,sendoff na sherehe nyingine tofauti ambazo huitisha kamati..
Yanayofanyika kwenye hizi kamati kwa kweli ni biashara na kuonana wengine ni...
kiutaratibu unapofanya biashara na umma wa watu inabidi kama kuna tatizo unawajulisha wateja wako
leo azamtv sisi wateja hatuelewi lolote hatupati habari na sasa hata local chaneli hatupati na...
Kifupi: ukienda kumpima DNA mwanao, inawezekana mtambo ukaonyesha si mwanao, wakati ni mwanao kabisa, sababu ya "mutation" kwenye vinasaba...
Utafiti huu umefanywa kwa wanaume mbalimbali 100...
Jana inadaiwa kuwa Maaskofu wa CCT na TEC walikwenda kujitambulisha Ikulu kwa Rais. Vyombo vya habari ikiwa TBC1 ktk taarifa ya habari ya usiku viliripoti juu ya Maaskofu kwenda Ikulu...
Tokea serikali ianze mizengwe na vyombo vya habari ya kutaka kusikia taarifa za kusifia uongozi na kuchukia kukosolewa kitu ambacho kilipelekea baadhi ya vyombo vya habar kufungiwa ndipo...
Nimekuwa nikipokea SMS za kuhamasishwa kujiunga vifurushi na Airtel:
Ujumbe ambao wamekuwa wakinitumia in huu:
"Pata Dakika 150 za kupiga MITANDAO YOTE Siku 7 + MB na SMS KIBAO kwa sh 1,500 tu...
Wanajamvii mimi Kibori Nangaii najiandaa na mwanasheria wanguu kuwafungua Azam TV Kesi kwa kukiuka haki zangu kama mlaji wa bidhaa zakee
Na hii nikutokana na kwamba nimeingia mkataba wa kuonyesha...
Karibuni wana bodi. Kwa mtazamo wangu, tcra wametulerea tatizo ambalo litakuja kuingamiza hii tasnia ya matangazo ya television.
Tatizo kubwa ni tcra kuweka sheria, kanuni na leseni za ajabu...
Habar wakuu
Karibuni
Miezi ya hivi karibu maisha yamekua magumu sana kwa upande wangu! .. Siteuliwi kushiriki semina..michongo ninayopanga inatibuka...Ofisini vikao haviishi...dah! kero...
Niliwahi kusikia mahali kwamba ukifikia degree ya 33 ya u free mason utaweza kujulikana rasmi kama Mungu lakimi bado sijaelewa kiundani zaidi juu ya suala hilo ,hivyo basi kwa wale wajuzi wa mambo...
Hojaji na tamko la Lugola kuhusu kufunga maduka na masoko haraka haraka tena kwa shinikizo la mgambo wajiji, sasa kumekuwa na mabadiliko.
Jana nimepita mitaani mida ya sa2 za usiku maduka yakiwa...
Wakuu, nilipata kumsikiliza msemaji wa klabu ya Simba juzi kati pale Clouds FM akitoa msisitizo wa kuhudhuria mapema uwanjani kwenye tamasha ya klabu hiyo.
Nilisituka kidogo baada ya kusema...
Nimekumbuka tukio moja la kusisimua ambalo lilitokea nyumbani kwetu, wakati huo nilikuwa naishi na wazazi wangu. NJIWA aliyefungwa hirizi nyekundu aliingia ndani, ilikuwa taharuki babu kubwa. Kila...
Nimevutwa namakala ya bbc leo inayoonyesha mbunge wa kwanza kupatikana Pakistan kutoka jamii ya watu weusi wanaoitwa siddi wenye asili ya afrika hususani Tanzania. Dada huyu kwa jina la Tanzeela...
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi...
The IAT-designed Karlmann King may be designed to look like a stealth fighter, but you won’t miss it coming down the road.
The hulking luxury SUV is based on a Ford F-550 commercial truck and...
Bila kupoteza muda naomba kujua kwanini wamasai hawana muonekano wa ndevu au kwanini ni nadra kumuona mmasai akiwa na ndevu ?
Nitashukuru nikipata majibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.