Ni wapi naweza kupata bima ya afya?

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Wakuu wa nchi natumaini mnaendelea vizuri,

Naomba kuuliza kama kuna mahali naweza kupata bima ya afya, nimeenda NHIF. Naona masharti yao kidogo ni magumu, unatakiwa kulipa million 1.5 kwa mwaka au ujiunge na Saccos uje na wanachama 10 kwa pamoja ndio unaweza kusajaliwa.

Naomba kama kuna mtu anayejua wapi nitapata huduma hii, please let's me know please.
 
1.5 million
Hii ni bima kubwa ya familia haina tofauti na wanayopewa watumishi wa umma. Sheria zetu ni mbovu sana, wananchi wangeruhusiwa kulipa kidogo kidogo (private) 100,000 kwa mwaka sijui kama wangeshindwa kumudu na matokeo yake dawa zingekuwepo za kutosha kwenye hospitali za umma.
 
Unaweza Kuwapiga wanayo Toll Free phone number is 0800110063 na uwaulize maswali yaani ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyegi akuambie ulete maziwa ya sisimizi ,
 
Nenda bima za afya za serikali kuna NHIF hii ni maalum kwa watumisji wote wa Umma ambao wanachangia kwa mujibu wa sheria.

Lakiji hapo NHIF wana mfuko mwingine unaitwa CHF huu unahusu zaidi kila mtanzania ambao siyo watumishi wa Umma. Kiasi sikumbuki vuzuri but last tjme ilikuwa kati ya 10,000/= hadi 40,000/=
 
We umesema unataka nini hapo NHIF??? Kama unataka kununua hisa hiyo ndo bei yake, lakini Kama unataka bima kwa kweli hiyo sio bei yake hata kidogo. Ila kukusaidia nenda NSSF popote, wana huduma nzuri sana. Na watakupatia bima kwa bei nafuu.
 
hiyo bima ya nssf ni ya kipuuzi na hospital zao ni za kuselct
 
Ina maana wasomi wetu akili zao zimefika mwisho kuhusu bima ya afya afiordable kwa mtu wa chini?
Kama ipo wameikalia au?
 
Nenda bima za afya za serikali kuna NHIF hii ni maalum kwa watumisji wote wa Umma ambao wanachangia kwa mujibu wa sheria.

Lakiji hapo NHIF wana mfuko mwingine unaitwa CHF huu unahusu zaidi kila mtanzania ambao siyo watumishi wa Umma. Kiasi sikumbuki vuzuri but last tjme ilikuwa kati ya 10,000/= hadi 40,000/=
Matibabu yake kipindi Fulani yalikuwa limited unatibiwa kwenye wilaya yako tu
 
hiyo bima ya nssf ni ya kipuuzi na hospital zao ni za kuselct
Kwa ujumla NSSF ni wapuuzi tu..... Ila kwa jinsi huyu bwana alivyokuja na mada yake. Ni vyema aka jaribu kuwasikiliza na hawa alafu achukue mwenyewe.... Mimi binafsi siwezi kutumia huduma yoyote kutoka NSSF.
 
Nenda PPF ukajiunge then watakuunganisha na bima ya NHIF. Mimi nimefanya hivyo mkuu

Unalipia tu 60000 kwa PPF ambayo inakuwa gharama ya miezi 3
Then wanakuunganisha na NHIF unalipia 78600 kwa mwaka. Fanya hivyo mkuu
 
Wakuu wa nchi natumaini mnaendelea vizuri,

Naomba kuuliza kama kuna mahali naweza kupata bima ya afya, nimeenda NHIF. Naona masharti yao kidogo ni magumu, unatakiwa kulipa million 1.5 kwa mwaka au ujiunge na Saccos uje na wanachama 10 kwa pamoja ndio unaweza kusajaliwa.

Naomba kama kuna mtu anayejua wapi nitapata huduma hii, please let's me know please.
Wacheki Jubilee
 
Nenda PPF ukajiunge then watakuunganisha na bima ya NHIF. Mimi nimefanya hivyo mkuu

Unalipia tu 60000 kwa PPF ambayo inakuwa gharama ya miezi 3
Then wanakuunganisha na NHIF unalipia 78600 kwa mwaka. Fanya hivyo mkuu
Habari
Naomba maelekezo Kuhusu kupata bima ya nhif kupitia ppf, Nahitaji Sana bima, ukilipa 60000 Hiyo ni Ada ya uanachama kwa muda gani? Ni baada ya muda gani kadi yako ya nhif inakuwa tayari ukishalipa 76000?
 
Nenda PPF ukajiunge then watakuunganisha na bima ya NHIF. Mimi nimefanya hivyo mkuu

Unalipia tu 60000 kwa PPF ambayo inakuwa gharama ya miezi 3
Then wanakuunganisha na NHIF unalipia 78600 kwa mwaka. Fanya hivyo mkuu
Hii imekaa vizuri!
Vipi ukilipa inachukua mda gani kupata kadi hiyo ya bima?
 
Back
Top Bottom