Mgomo Azam Tv

Mgomo Azam Tv

LUWIYA

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
151
Reaction score
114
Ndugu watanzania wenzangu mnaotumia kisembusi cha Azam,, kutokana na sintofahamu inayoendelea Azam TV Nimeamua Rasmi kutokulipia gharama za kifurushi chao hadi hapo watakapojirekebisha.
1.. Warudishe taarifa ya habari,,sio kila Siku kutuwekea vibwengwo.
2.Warudishe local channels nyingine

NB .. Nawaombeni mniunge mkono make sio wote tunaolipia ili tuone Jamai Raja ,,sultan na VPL,,,kuna zaidi ya hapo
 
Bado sijaona sababu za msingi za Azam kutoa local channels
 
Ndugu watanzania wenzangu mnaotumia kisembusi cha Azam,, kutokana na sintofahamu inayoendelea Azam TV Nimeamua Rasmi kutokulipia gharama za kifurushi chao hadi hapo watakapojirekebisha.
1.. Warudishe taarifa ya habari,,sio kila Siku kutuwekea vibwengwo.
2.Warudishe local channels nyingine

NB .. Nawaombeni mniunge mkono make sio wote tunaolipia ili tuone Jamai Raja ,,sultan na VPL,,,kuna zaidi ya hapo
Nilitaka kuwachulia wazee kesho kumbe chenga kulikoni wadau
 
Nakuunga mkono, japo nilikwishaanza kimya kimya kuachana na Azam tangu mwezi June nilipojiunga na Startimes ili kupata uhondo wa mechi zote za kombe la dunia kwa channels zao za World Sports football.

No more payment for Azam packages mpaka watupe ukweli wa kilichowasibu sio bla bla!!!
 
Ngoja niwapatie kile ninacho kifahamu!

Nimeona kwa wiki kadhaa watu wakilalamika mtandaoni na kutoa shutuma kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA:

Kuhusu Azam Tv kutokurusha habari! Utaratibu uko hivi, ukiwa una kituo chako cha televisheni na unataka ukipeleke kwa walaji (Viewers/ customers) Baada ya kumaliza taratibu zote ikiwemo vibali toka kwa mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA ..mamlaka inakupa option tatu tu za urushaji/ uwekaji hewani wa maudhui yako ama kituo chako.. Option hizo tatu ni either Tv yako uiweke kwenye ving'amuzi vya Star Media (Startimes) , TING ama Continental pekee! na hakuna option ya DSTV ama Azam Tv au DigiTek! why? kwasababu makampuni tajwa ( Starmedia, TING na Continental) ndiyo pekee yaliyo shinda zabuni ya urushaji matangazo kwa vituo vya ndani ( Wakati tunahamia mfumo wa Digitali)

Mamlaka ya mawasiliano ilibaini kwamba kampuni ya Azam Media ilikua na leseni ya kurusha matangazo tu na haikua na kibali cha utoaji huduma za habari: Na ikafahamika kwa zaidi ya miaka 7 Azam imekua ikitoa huduma ya habari kinyume na sheria (Urushaji wa matangazo, habari, vipindi Nk)

Na kwa taarifa yenu tu ni kuwa wale wote wamiliki wa vituo vya televisheni waliopeleka kutaka maudhui ya vituo vyao yarushwe Dstv, Azam, ama Digitek ni kuwa wamekiuka sheria hivyo michakato yote hivi sasa (As am speaking) kwa vituo hivyo imesitishwa/ ama hutoweza kufanya hivyo!

Baada ya sakata hilo, inaaminika kwamba walioshinda zabuni ya urushaji wa maudhui ya vituo vya televisheni vya ndani (Starmedia, TING na Continental) jamaa inasemekana walienda kulalamika kwa serikali.

Kilichopo ni kwamba Watoa huduma walioshinda zabuni hawana uwezo wa ku-compete na hawa investors wengine kama Azam (They are expanding rapidly pamoja na DSTV)

Kutokurushwa kwa taarifa ya habari ya Azam ni sehemu za hatua walizotakiwa kuchukua mpaka pale taratibu za kisheria (Vibali na leseni) zitakapo kamilishwa!

c.p
 
Asante mkuu,,umetufungua wengii ..
 
Kwa maana hiyo tutegemee kuwa Azam watapata vibali hivyo na huduma itarejea kama zamani au itakuwaje
?
 
Hii inaingia akilini
 
Naona Mzee bakhresa kama karudi nyuma sana kwa uwekezaji wa ndani sijui kaweka nguvu nje ya nchi zaidi,hata MAJI ya uhai hayana nguvu sana sokoni kama zamani
 
Back
Top Bottom