LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
Biblia inasema " Wanaume ishini na wake zenu Kwa akili"
Hapo maana yake ni kwamba mwanaume anaetakiwa kuishi na mwanamke ni lazima kwanza awe na akili ili aweze kuitumia kuishi na mwanamke.
Mwanaume mwenye akili ni yupi? Au vigezo gani vinatumika kujua mwanaume Fulani ana akili au hana akili..
Akili za mwanaume huwa zinatazamwa kwa kuangalia vitu anavyo vimiliki..Vitu hivyo ni pamoja na fedha na Mali..
Kwanini ? Kwa sababu pesa zinatafutwa kwa kutumia akili..Ukiona mwanaume ana pesa nyingi kukuzidi wewe tafsiri yake ni kwamba ana akili nyingi kukuzidi kwa sababu pesa na mali zake alizitafuta kwa akili..
Na Ukiona mwanaume hana pesa wala Mali basi tafsiri yake ni kwamba mwanaume huyo hana akili zinazo Fanya kazi sawasawa.
Ndio maana mfalme suleyman anatuambia kuwa " Hekima ya masikini haisikilizwi" Hii ni kwa sababu inachukuliwa kwamba mwanaume masikini akili zake hazifanyi kazi sawasawa kwa hiyo hawezi kuwa na mawazo ya hekima yanayo weza kuwafaa watu wengine kwa sababu yeye mwenyewe yameshindwa kumsaidia...
Hata kwenye Kuran Tukufu imeandikwa kwamba u masikini ni ukafiri na maisha ya umasikini ni maisha yasiyo mpendeza Mungu..
Wayahudi wanaume masikini walichukuliwa kuwa ni watu wenye dhambi na u masikini wao ni Matokeo ya laana..
Hata Hawa alimkuta Adam kwenye utajiri..Adam alikuwa tajiri ..Alikuwa amezungukwa na utajiri ( Eden ni utajiri )
Mungu akaona si vyema Adam mwenye kila kitu aishi peke yake..Akamletea Hawa ili waishi wote kwenye utajiri ..
Kwa hiyo technically hata Mungu anapinga suala la mwanaume masikini kuoa...
Ukiwa masikini huna haki ya kuwa mpweke..
Mungu alimuona Adam mpweke anaehitaji mke kwa sababu Adam alikuwa na.kila kitu.
Huu ni ukweli unaoweza kupingwa na baadhi ya watu ambao they live in denial but huo ndio uhalisia.
" The Only Excuse of being broke is to be in jail" Curtis Jackson alias 50 Cents in his song How to Rob