Mafia ni kisiwa, ni wataalam wachache wapendao kuishi hapa. Kuna watalamu wangapi wa afya hapa? Nazungumziau madaktari?Umemsimamisha kazi Dr Said Maya Sababu zikiwa ni za kitoto mnoo!
Mwambeje...
Kuna mtu anasema kujiunga na jeshi siyo lazima uwe na cheti cha form four, only leaving certificate. Eti ni kweli? Actually amekwenda mbali zaidi na kusema unaweza kuingia na cheti cha kughushi na...
Magazeti ya leo yamechapisha habari kuwa ndani ya Kanisa la KKKT kuna mgawanyiko mkubwa sana nchini.
Mgawanyiko huo wa Maaskofu ambao chanzo chake kikuu ni siasa na uongozi kwa sasa umeanza pia...
Wakati Jeshi la Poilisi kitengo cha Usalama Barabarani likiendelea kutoa elimu kwa wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto lengo likiwa ni kuepusha ajali zisizo za lazima wadau wa maswala ya...
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma akitoa maamuzi kuhusu kujitoa kwa Star TV kwenye Star Times.
TCRA imeagiza Chaneli ya Star Tv irudishwe mara moja kwenye Star Times kabla ya saa kumi...
Elimu zingine ni za bure tu unaweza kupitia hapa kujua Wajibu wa Jeshi la Polisi katika Chaguzi za Kidemokrasia na sio kulalamika tu mkiona Polisi wapo katika vituo vya kupigia kura katika...
Mitandao ya kijamii imetawaliwa na picha zikionyesha polisi wakimfanyia ukatili wa kipigo Mwanahabari Silas Mbise. Kitendo hicho cha ukatili wa polisi kimelaaniwa na kila mtu mwenye mapenzi mema...
Hii sherehe ilihurudhuriwa na viongozi wakubwa wa nchi za Ulaya. Kukafanywa maonyesho makubwa sana lakini hata kama tunasema ni sanaa lakini hii mimi sijaielewa kabisa, maana hakuna...
Mwaka 2016 mwezi wa sita ,UDART mlituhamasisha kununua kadi za machine za mwendokasi za kielectronic, ili kuondoa uchafu wa tiketi za karatasi na msongamano wa watu kwenye madirisha ya kulipia...
Amani iwe nanyi,
Hivi kwa mfano nafungua kibanda changu cha kutoa huduma za mpesa, ingawa baadae kuna malengo ya kutoa huduma zingine zaidi za kifedha, ni sahihi au ni kosa kisheria katika jina...
Tanga. Upo mkoani Tanga na unataka kumuwahisha mtoto wako shule kwa kutumia usafiri wa bodaboda? Katika hili yakupasa uwe makini kwani kama mwanao ana umri wa chini ya miaka tisa unaweza kuingia...
Watu watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine sita wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Kibuteni Wilaya ya Kusini.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Habarini wanajukwaa!
Kama kichwa kilivyosimama napenda kuainisha sababu moja kuu inayomfanya mwafrika awe mkia kiuchumi, kisiasa na kijamii pia.
Sababu yenyewe ni AKILI NDOGO(KUKOSA AKILI)...
Kipi kati ya vifuatavyo umeshawahi kukutana nacho katika utawala huu kikakunyoosha;
1.TRA
2.TCRA
3.Uhamiaji
4.BASATA
5.Mahakama
6.Polisi
7.TISS
8.Watu Wasiojulikana
Juzi tulielezwa kupitia vyombo vya habari kuwa mfumuko wa bei kwa mwezi huu umepungua, Binafsi siwaelewi kabisa.
Kama baadhi ya bidhaa tunazaotumia na hasa zinazotengenezwa na mali ghafi toka nje...
Mapungufu makubwa ya Jeshi la Polisi yanajulikana. Hili tukio la kupigwa kwa Mwandishi wa habari Silas Mbisse ni muendelezo wa matukio mengi yanayofanywa na watumishi wa jeshi la polisi, yanayo...
Baba wa kizungu humzawadia mwanae pesa kwa ajili ya kusoma masters siku ya kuzaliwa kwake
Baba wa kiasia humzawadia mwanae pesa kama mtaji wa biashara siku ya mahafali yake
Baba wa kiafrika...
Tunaposema kuna watumishi wa wameamua kwa makusudi kuigombanisha serikali na wananchi wake ni hawa wa Tanesco ,Mwanza.
Eneo hili la ndufye licha ya kupitiwa na miuondombinu ya umeme katika mapaa...
Kesho pale Ruangwa Mkoani Lindi, kutakuwa na shughuli moja kuu nayo ni kuzindua uwanja wa kisasa wa michezo wa Majaliwa.
Uwanja huo umepewa jina la Waziri Mkuu wa sasa wa JMTZ, Ndugu Kassim...
Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kufanya kazi bila mikataba imepelekea wataalamu katika tasnia ya habari nchini kutokua na ushirikiano hususani pale wapatapo matatizo kazini.
Waajiri wanapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.