Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametangaza ziara ya kukagua usafi katika jiji hilo na kuwaonya watendaji wa Serikali za Mitaa ambao maeneo yao yatakutwa machafu watapata tabu sana...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 21 ikiwamo ya Mbagala Kuu katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, jambo linalohitimisha udiwani wa mfanyabiashara...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
MRADI wa Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko la Kisasa jijini Dodoma unategemewa kuzalisha ajira zaidi ya 500 zitakazowanufanisha wakazi wa jiji la Dodoma. Hayo yalielezwa na Mkurungenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Julai 29 ndege aina ya Boeing 787-8 (Dreamliner) ya Shirika la Ndege la ATCL ilianza safari yake ya kwanza tangu ilipotua nchini Julai 8 mwaka huu ikitokea Marekani ambako ndiko ilikoten-genezwa...
10 Reactions
23 Replies
6K Views
Wasalaam ndugu zangu! Mm naishi Arusha maeneo ya Kisongo. Ni makazi maarufu sana ya Wamasai. Toka nizaliwe sijawahi sikia mwanaume wa kimasai anaongea sauti nzito ya kiume. Karibu wote huongea...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Mlinzi wa kampuni ya Lake Security, ameuawa kwa kupigwa risasi tumboni na mlinzi mwenzake baada ya kuzuka ugomvi kati yao wa kudaiana Sh. 30,000. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
*Mpiga Picha;* Mwalimu Mkuu Nitakuchaji Kila Mwanafunzi Sh. 500 Kwa Ajili Ya Pasport Size. *Mwalimu Mkuu:* Mwalimu Waambie Wanafunzi Walete Sh, 1000 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Pasport Size...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni mwislam ,lakini nimeZipenda sana kusikiliZa nyimbo Za injili . Goodluck GoZbert Nyimbo Zake zote nimeZipenda na zinanihamasisha kumpenda Mungu na kumtanguliZa Mungu kwa kila kitu.
4 Reactions
65 Replies
12K Views
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amewaondoa wasimamizi wa Mradi wa Umeme Vijijini (REA) kwenye kijiji cha Ngunguti Kata ya Vikindu wilayani Mkuranga baada ya kushindwa kusimamia uwekaji umeme...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, me natumia simu ya HUAWEI Y330 nikiweka laini upande namba1 haisomi inaandika Enter me lock ila nikiweka laini ya tigo inasoma kama kawaida. Hapo nifanyeje ili iweze kusoma...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Miaka ya nyuma wakurugenzi wa mashirika walikuwa wanaajiri ndugu Jamaa na marafiki kwa Njia ya mikataba mifupi mifupi na kuwalipa pesa kidogo Huku wakipiga cha juu cha kutosha; Ni muda mwafaka...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Braza.....* Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi.... "Za hasubui Lichadi,Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
3 Reactions
18 Replies
3K Views
"Nimekifungulia DUNIA KUWA UNAVYOTAKA''. Suala la maadili limebaki ni la mtu mmoja mmoja, Dunia imefunguliwa katika kila lango liko wazi na kila mtu anapewa uhuru awe anavyojisikia au anavyotaka...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda amewashauri viongozi wa vyama vya siasa kuwa makini na matumizi ya lugha wanayotumia pindi wanapotaka kumshauri Rais wa Serikali ya...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Toka wiki mbili zilizopita hadi leo ninapoandika hapa...kila nikiona tu wowowo la mwanamke dushe linasimama!!hali hii imekuwa ikininyima amani sana hasa niwapo kwenye gari,mtaani ama kazini maana...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Dar es Salaam. The battle for Tanzanian skies is on as domestic airlines slash fares and resort to other promotional gimmicks in a wave of growing competition. This comes in the wake of reports...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huwa nazunguka sana kushop kwenye maduka makubwa, supermarkets nk Nikitafuta bidhaa mbalimbali lakini asilimia kubwa ya bidhaa za kukidhi mahitaji yangu mostly zinatoka nje ya nchi. Nashindwa...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu.sikatai kua umri unaenda n perhaps sura ishaanza kuuaga ujana maj ya moto,..bado mwaka m1 niingie 30.. Ila naitwa sana blaza jameni had kero sasa,watu wamenizid umri lakin blaza blaza...
7 Reactions
148 Replies
10K Views
Msanii maarufu wa maigizo Amri Athuman maarufu ‘King Majuto’ amelazwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa...
4 Reactions
90 Replies
16K Views
Nimebahatika kuwa kwenye kamati mbalimbali za harusi,sendoff na sherehe nyingine tofauti ambazo huitisha kamati.. Yanayofanyika kwenye hizi kamati kwa kweli ni biashara na kuonana wengine ni...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom