Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi, Natarajia kusafiri siku za hivi karibuni kwenda Kigali Rwanda kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali. Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali. Ahsanteni.
1 Reactions
25 Replies
12K Views
Kuna namba ziko Brela kama technical support kwa ambaye umekwama sehemu unaposajili kampuni imekuwa kero hazipokelewi, nimejaribu kupiga zaidi ya mara 40 toka jumatatu hakuna anayepokea namba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moshi raha sana. Moshi bata sana. Pesa haiachwi mjini Moshi. Kila huduma lazima negotiation iwepo. Iwe guest house, iwe bidhaa, iwe wadada poa, iwe chakula, iwe pombe nk...chochote ulichonacho...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Dunia mzima idd ni leo, nchi pekee inayosherekea did ni Tanzania, tatizo lii wapi?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
MAMBO YA KUZINGATIA KWA KIJANA AMBAYE HUJAOA... Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna mjadala mgumu sana kuhusu uhalali wa kutoa mimba au Kuto itoa. Hoja za wengi wanaosema isitolewe ni za kidini wengi husema kuua ni dhambi. Sawa lakini swali la msingi ni hili hapa. Uzinzi ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mmeamkaje? Nimefika Arusha salama, japo kuna baridi kiasi, ila hali ya hewa ni nzuri kwakweli. Mji umetulia, hamna fujo kama za Dar (mahoni kila sehemu, jam, mara ujenzi wa SGR, etc)...
16 Reactions
160 Replies
17K Views
Nianze kwa kutoa Pole kufuatia kodi cha Monica magufuli. Hapa Mza hali imekuwa tete kufuatia usafi kubwa ya viongozi walipkwenda chat Ni zaidi ya saa Moja na robo tesimamishwa kupisha msafara wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wauguzi 16 wana ujauzito kwa wakati mmoja katika hospitali ya Mesa,Arizona. Asilimia 10 ya wahudumu wa chumba cha uangalizi maalum wameanza kugundua ongezeko la wingi wa wauguzi kuwa wajawazito...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Natarajia kuja Arusha kesho. Nitakua siku 3. Nahitaji wenyeji wa huko mnisaidie pa kufikia. Namaanisha Lodge au Hotel ambayo iko Standard. Bajeti yangu ni 25,000 mpaka 30,000 kwa siku. Isiwe...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Nianze kwa kusema pesa ni sabuni ya roho. Usipokuwa na pesa hata roho yako inakuwa chafu. Pia pesa ni jawabu la mambo mengi sana. Kamwe usidharau pesa wala kuibeza. Uzi huu inajikita sana kwenye...
1 Reactions
1 Replies
735 Views
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye Mwanzo 22:1-18, je inawezekana kuwa mvulana ambaye Abraham alikaribia kumtoa kafara awe ni Ishmael, siyo Isaka, kama inadaiwa? Vinginevyo, inawezekanaje Isaka awe "mtoto pekee wa kiume"...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Tangazo lililopita la ajira mpya za waalimu tuliambiwa waalimu wanaotakiwa kuomba ni wa masomo ya hesabu, physics na English literature. Kwa hiyo waalimu wengine wa sayansi kama chemistry na...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
katika sikukuu ya Eid ul-Adha ,familia nyingi hutoa mbuzi au kondoo kwa ajili ya marafiki na wahitaji Waumini wa dini ya Kiislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr. Hii ni moja...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilijionea Jana tukio LA Uganda Polisi walivyo tawanywa wakati wanamshambulia mwendesha Pikipiki bila sababu. Kumbe nguvu ya umma dhidi ya uonevu yaweza kufuta Tania hiyo. Hivi ndivyo inavyotakiwa...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia raia 25 wa Ethiopia miongoni mwao tisa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa katika kichaka eneo la Himo wakisubiri gari kwa ajili ya kuwavusha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…