NSSF ni taasisi ya serikali yenye wajibu na majukumu yakukusanya nakupokea michango ya wafanyakazi kutoka sector binafisi, kama wote tujuavyo,ingawa huko nyuma kidogo kipindi cha Dr Ramadhan...
Watu watano wakiwemo watumishi wanne wa Hazina ndogo Kibaha wanashikiliwa na polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali za malipo na kuiba Sh284.8milioni ambazo ni fedha za...
Kiteto iliyopo Mkoani Manyara, imekuwa na mabadiliko makubwa na kwa haraka kwa miaka miwili na nusu, kutokana na aina ya uongozi uliopo.
Hili limeshuhudiwa na wananchi wenyewe na wakati mwingine...
Kutoka kwenye kitabu...
Mbwa aliambiwa: Utalinda nyumba za watu, utakuwa rafiki bora wa mwanadamu, utakula makombo atakayokuachia, na utapewa umri wa miaka 30.
Mbwa akasema: Miaka 30 ni mingi...
Nimekuwa nikiweka mafuta mara nyingi sana kwenye hiko kituo cha mafuta kilichopo njia ya Kutoka Mbezi kuelekea Goba, kwa kipindi cha nyuma sikuwahi kuona tatizo.
Kama wiki 2 zimepita niliweka...
Ndugu zangu wana JF naomba mnielimishe kisheria kumdhamini mtu mazuri yake na mabaya yake yapi?Nitatoa mfano mtu anatarajia kupata kazi ya udereva kampuni flani anaambiwa moja ya mashariti awe na...
Habari Wanajukwaa.
Nimebahatika kuona tangazo ambalo naamini 100% ni utapeli. Ni matangazo ambayo yamesambaa sana kwenye vituo vya daladala especially maeneo ya tegeta.
Yani hapa nazionea...
Jimmy claure,mfanyakazi wa mamlaka ya mapato Tanzania,mwenge ni miongoni mwa watumishi wa mamlaka hiyo waliosimamishwa kazi baada ya kubainika walipewa mgao wa escrow.
Mwingine aliekumbwa na...
Muswada wa Sheria ya Fao La Kukosa Ajira Huu Hapa
Ule mbadala wa fao la kujitoa ambao umekuwa ukisemwa na mamlaka ya udhibiti na uendeshaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini SSRA, na wakati...
wakuu kuna mtoto mzur sana anafanya kazi iyo kampun ya ndege precision air
najalibu kutia mistali, ila uyo mtoto wa ukweli sana, pamba mpya daily
hivi wanalipwa kiasi gan?
maana uyo mtoto kwa...
Habari kwenu watanzania,
huu ujumbe uwafikie TCRA na idara zinazo husika kusimamia maadili ya vyombo vyetu vya habari.
leo wakati nipo mahala flani nakula walikuwa wameweka tv channel ya...
Nawasalimu kwa salam ya maamkiz ya peponi Assalam aleikum warhamtullah wabarrakat.
Nimeona tangazo la Muft wa Tanzania anasema swala ya Idd ya kuchinja itakuwa siku ya jumatano ikiwa inamaana...
nini faida, hasara au kivipi isiwezekane...maana mm ni mfanyakazi wa kawaida ila JF nakuta nimeandikwa "senior member, expert member, verified, etc"...na ni wazi kuna wanaopiga hela hata hapa...
Mkazi wa kijiji cha Kinku tarafa ya Mungaa wilaya Ikungi , Singida, Editha Kanisi (49) ameuawa kwa kukatwa kwa kisu cha kukatia majani, (mundu) shingoni na kichwani na mume wake Joseph Wilbroad...
Nawasalimu kwa heshima na taadhima wakuu. Alfajiri ya leo mida ya saa kumi na nusu nilitoka ili nifanye mazoezi ya kukimbia kwa nusu saa. Kilichonishangaza ni kuona mgongo wa mnyama mkubwa kuliko...
Naombeni ushauri wenu wakuu tangu niache kazi mwaka jana mwezi wa kumi kwenye kampuni ya kichina nilikokuwa nafanya kazi ya kumwaga zege na kuamua kujiendeleza kimasomo.
Nilifata hatua zote...
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaju amewataka wafanyabiashara mkoani Kigoma kutokubali kulipa kodi kwa makadirio, iwapo wataalamu wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Nimepita mahala Nikiwa kwenye chombo cha usafiri namuona mama ntilie anashikwashikwa hadharani na wateja wake bodaboda.
Mwingine anamkumbatia mwingine anashika kalio kiutani.
Sio mara ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.